F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Acha uongo wewe,yani chumba 1 kichukue bati za laki? Tumia simba dumu bandle tsh 300000 tu na yanatosha.kuhusu tofari fyatua mwenyewe mifuko ya saruji 10 sawa na tofali 400 na zinatosha kabisa na sawa na sh 350000 tuInatosha kutegemea na mkoa uliopo na vitendea kazi ulivyo nazo.... but hautopiga finishing ya uhakika.
Room kubwa self tofar za kuchoma inakula 1500 @ 50 km utafyetua na kuchoma mwenyewe= 60, 000.
Msingi utagharimu = 200000. Kwa kuwa kuna cement nyingi.. mawe na uchimbaji... kutegemea na ujenz wako.
Fundi hadi jengo kuisha kabisa hadi kupaua bati haiwez zid laki 5.
Kench na bati-laki 5.
Inayobaki ni finish ya kizembe.
Mmhhh... Hapo unazungumzia tofali ngapi? Cement kiasi gani na nondo ngapi? Hapo sijaweka gharama za ufundi, maji, mchanga na kokoto.Kama kiwanja unacho lakini pia kama utatumia mafundi wa bei nafuu basi hata kwenye Renta utafika na utakua umeshajipa munkali wa kumalizia coz kila utakapoliona banda lako litakupa hasira zaidi ya kutafuta ili umalizie
Babu raha ya ujenzi kuanza,mwache aanzeMmhhh... Hapo unazungumzia tofali ngapi? Cement kiasi gani na nondo ngapi? Hapo sijaweka gharama za ufundi, maji, mchanga na kokoto.
Ok... kumbe lengo lilikuwa kumtia moyo sio?Babu raha ya ujenzi kuanza,mwache aanze
Nimeandika kench na bati laki 5.Acha uongo wewe,yani chumba 1 kichukue bati za laki? Tumia simba dumu bandle tsh 300000 tu na yanatosha.kuhusu tofari fyatua mwenyewe mifuko ya saruji 10 sawa na tofali 400 na zinatosha kabisa na sawa na sh 350000 tu
Hhahah! Hiyo 'self contained' unamaasha aweke partition ya kuegesha mtondoo, au!? Maana self inataka septic tank na kwa hyo 1.6 kufanya hayo yote sjui ka itatosha mkuuWala usijiulize kama una kiwanja kalianzishe kuna level ukifika utakuta nyumba imeisha tu bila tatizo. Anza chumba ila kiwe self contained
Ndio Babu, tumtie moyo kijana kujenga si lazima uwe na mil 10 hata laki 5 ukiwa na kiwanja waweza anza kusanya hata mahitajiOk... kumbe lengo lilikuwa kumtia moyo sio?
Nimekusoma...
ilo nalo nenoHhahah! Hiyo 'self contained' unamaasha aweke partition ya kuegesha mtondoo, au!? Maana self inataka septic tank na kwa hyo 1.6 kufanya hayo yote sjui ka itatosha mkuu