Nina Kiasi cha Milioni 1.6 je nikianza kujenga room self naishia wapi?

Kwenye huu uzi nimegundua watu ambao wamepanga ni wengi kuliko ambao wamejenga.Kumbe wengi hamna nyumba mmepanga.
 
Msingi? Asee jamaa wewe, inategemea na aina ya nyumba, ghalama za fundi usiogope anza
 
Broo nikisha toka toilet nitakushauri lkn nahisi utaishia chini
 
Uzi mzuri ila kuna idea tofauti ambazo zinachangia uzi mmoja.

1. Uzi unahusu chumba kimoja ambacho ni self?

2. Nyuma yenye vyuma vingi wakati master ina self

3. Nyumba kama nyumba ya kuanzia maisha.

4...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…