wa kibondemaji
Member
- Aug 1, 2024
- 30
- 53
Kwanza usiwachekee watoto wa shule watakufilisiNina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto jipange, m3 ni ndefu
Utakuwa mwenyewe au unaweka mtu?Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
Mkuu unaenda kupigwa. Usimfuate pmMkuu njoo pm