Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

Mkuu mimi nilifungua kwa tsh 900k pekee kodi vifaa vilinigharim 700k nikaanza na mafuta lit 20 na gunia moja la viazi na nkaweza kumaliza gunia moja ndan ya siku tatu.
Changamoto ya hii biashara ni kupata vijana hasa wamenya viaz kwa maana kwa mtaj wang sikuw na mashine ya kumenya. Kingine ni ushindani asee ukizengua tu kwenye kukausha chips utawapoteza wateja
Asante sana kwa ushauri
 
Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.

Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
Nikupe siri ndoo moja ya chipsi unatoa sahani za buku 20-25 kwa ujazo wa nyanda za juu kusini hapo ujatumia ile mashine ya kukata chips
 
Lakini hii biashara ili utoboe unahitaji uwe na mtaji mm baada ya kufanya mda kidg mtu akanipa connection mbele ya night club asee na kuna mwamba akanipa connecfion ya kuku kutoka malinyi nkamtafta mama malinyi akawa ananipakia kwenye gari ya master j kipind hicho napokelea town asee kwenye kuku ndio nilipiga hela nkawa nachoma chips kuku kuanzia saa tatu usiku mpka saa tisa alfajir naamsha zangu sema nilifanya ndan ya miez 3 tu nkaswitch kweny mchong mwingine
Hapo uliposwitch ndio uliharibu.
 
Back
Top Bottom