Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

man well

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
270
Reaction score
180
Habari wana jamvii!kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nimekua mhanga wa tatizo ilo kwa muda sasa na bado sijaonana na daktari kwa ushauri zaidi.dushe Langu likikasilika linakua la wastani kinacho nitisha zaidi kokwa moja imeshuka halafu imepita mistari mistari Kama nyungunyungu. wasalam! naitaji mawazo yenu na ushauri pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama inaanzia 4inches
Cjui unachilalamika n nn

[Color= yellow]Triple A[/color]
 

Usijali hiyo ni ishara ya utajiri,unanyemelewa na utajiri uwe mtulivu mkuu
 
We unajishtukia tu hauna kibamia wala nn jaribu kujitizama kwenye kioo ukiwa uchii utaona una dude la maana kioo hakidangany
Asilimia kubwa ya wanaume wanajiisi wana vibamia kulingana na tafiti
We kwani kuna MTU aliwahi kukuambia una kibamia?
Ridhika na hali yako bro,matokeo take mnakula madawa mnakua sio risk tena
 
Nilitaka nisisome kwa kua mi si daktar ila sasa nimesoma nimechekamo kama nungunungu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe tafuta wanawake mabonge tu hawa wembamba utakuwa unaogelea tu

Mkuu kunamabonge wengine nizaidi ya noma kunammoja nilikutananae basi ile kuweka dushe kunako nikahisi limepotea maana haliku-sense chochote huko ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…