Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

Nina kibamia nahitaji Msaada wenu

Mkuu, hicho usemacho kibamia kiki erect kina sm ngapi length na diameter ni ngapi?
 
We unajishtukia tu hauna kibamia wala nn jaribu kujitizama kwenye kioo ukiwa uchii utaona una dude la maana kioo hakidangany
Asilimia kubwa ya wanaume wanajiisi wana vibamia kulingana na tafiti
We kwani kuna MTU aliwahi kukuambia una kibamia?
Ridhika na hali yako bro,matokeo take mnakula madawa mnakua sio risk tena
Mkuu kipo Kama chamtoto vile hadi kukitoa ni aibu mana utachekwa hadi utasononeka mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kunamabonge wengine nizaidi ya noma kunammoja nilikutananae basi ile kuweka dushe kunako nikahisi limepotea maana haliku-sense chochote huko ndani
Hahahaaa! Lol!!! Unanitisha mkuu ndio mana naogopaga kuingia katika mahusiano coz naogopa kutangazwa na kuzalilishwa ju ya hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAFUTA WANAWAKE WANENE HAWA NDIO SAHIZI YAKO KWAKUWA HUWA UKE MDOGO SANA ILA WEMBAMBA HUWA WANA MABWAWA WATAKUSHINDA
 
Habari wana jamvii!kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nimekua mhanga wa tatizo ilo kwa muda sasa na bado sijaonana na daktari kwa ushauri zaidi.dushe Langu likikasilika linakua la wastani kinacho nitisha zaidi kokwa moja imeshuka halafu imepita mistari mistari Kama nyungunyungu. wasalam! naitaji mawazo yenu na ushauri pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Man well, tafuta hela. Dushe haionekani, watakutafuta ukiwa na hela.

Na ukiwa na hela, utaridhika tu, hata kama hujala, utajihisi umeshiba.
 
Back
Top Bottom