Nina kibubu ninaweka hela kwa ajili ya ukumbusho wa siku Lema akitoka nishauri ninunue nini?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu kuna kibubu changu nimekiandika ,"Lema" kina wiki sasa sijui ntanunua nini lema akitokaa!!!
Ebu nishauri budget yaweza fika laki
 
Nunua kadi ya chama ulipie miaka kadhaa.
 
Nguo unazo za kutosha? Peleka msaada kwa wasiojiweza
 
Leo jamani kibubu changu
 
Kibubu changuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…