Nina kibubu ninaweka hela kwa ajili ya ukumbusho wa siku Lema akitoka nishauri ninunue nini?

Nina kibubu ninaweka hela kwa ajili ya ukumbusho wa siku Lema akitoka nishauri ninunue nini?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu kuna kibubu changu nimekiandika ,"Lema" kina wiki sasa sijui ntanunua nini lema akitokaa!!!
Ebu nishauri budget yaweza fika laki
 
Nguo unazo za kutosha? Peleka msaada kwa wasiojiweza
 
Leo jamani kibubu changu
 
Back
Top Bottom