How about you?
Kama kweli una kiburi cha kuwa mTanzania mbona umeikimbia na hauishi hapa? si uwongo huo usitudanganye. Njoo uishi hapa uone joto ya jiwe.
nitawashukuru wote hasa wabunge wa ccm kama Mama Malecela nk ambao pia walisaidia kufanikisha hii vita.
Kama kweli una kiburi cha kuwa mTanzania mbona umeikimbia na hauishi hapa? si uwongo huo usitudanganye. Njoo uishi hapa uone joto ya jiwe.
Karl Peters na Livingstone walikuwa wakizipenda sana nchi zao ndo maana walionndoka makwao wakaja kwetu na kutumia muda mrefu sana kukatiza nyika na kuongea na watu. Kazi zao ziliweza kukuza chumi za nchi zao mara dufu.
Uzalendo maana yake siyo kukaa ndani ya mipaka ya nchi yako na kushiriki mgao wa umasikini. Uzalendo ni kutoa mchango wowote uwezao kutoa kwa nchi yako popote pale ulipo.
Wapo wanaokimbia ukweli wa hali halisi ya maisha ya Tanzania kwa kuiba na kupokea Rushwa wakiwa ndani ya mipaka ya Tanzania.
Wako wanaoamka na kukaa mabarazani wakicheza bao huku wakinywa kahawa na kashata za kununuliwa.
Hawa uzalendo wao ni upi?
Kuishi Tanzania????
Kwi kwi kwi...
Analilia maziwa na amekosa sasa anaexplode tu!
Mimi sasa hivi na pop corn yangu kubwa ninashuhudia explosion!
Dear Zomba .Una beef gani na huyu mtoto wa kike ? Why your personals to the public domain ? Can't you pass her posts withut reading and writing? You can do better that what you are now doing mkulu.
Karl Peters na Livingstone walikuwa wakizipenda sana nchi zao ndo maana walionndoka makwao wakaja kwetu na kutumia muda mrefu sana kukatiza nyika na kuongea na watu. Kazi zao ziliweza kukuza chumi za nchi zao mara dufu.
Uzalendo maana yake siyo kukaa ndani ya mipaka ya nchi yako na kushiriki mgao wa umasikini. Uzalendo ni kutoa mchango wowote uwezao kutoa kwa nchi yako popote pale ulipo.
Wapo wanaokimbia ukweli wa hali halisi ya maisha ya Tanzania kwa kuiba na kupokea Rushwa wakiwa ndani ya mipaka ya Tanzania.
Wako wanaoamka na kukaa mabarazani wakicheza bao huku wakinywa kahawa na kashata za kununuliwa.
Hawa uzalendo wao ni upi?
Kuishi Tanzania????
Lini niliomba kunyonya maziwa yako?
How about you?
Unajua kuna mtu aliniambia etu wewe saa zote huwa umelewa, sasa naanza kuamini 🙂 teeteehee! Kwa hiyo wewe kuwa na uchungu na TZ lazima uishe Ndago au Shelui au Katalamba au Rufiji au Manzese, kala kabao wee!
Mwanamke wa kike:
You r a great women..!
Iam saying this from deep of my heart!!
You have shown the great spirit of loving yor country!!
You have dared to expose that spirit....while far away from home, which i serously cherish!
You have boldly and clearly spoken your heart..Tanzania..Tanzania..how you love it!
Now here z my statement!! without some right and wrong critics..you will never grow to shine..more and more...to love Tanzania!!
'hope u know wht im talkin about!!
I am also very proud to read you r posting and i mean it!!
Mungu bariki tz..!!
zomba,
sasa "unaua timu" mkulu, kama ni hasira nadhani umezimaliza zooooooote. hakuna aliye-perfect hapa, unatoa dukuduku lako halafu yanakwisha tunasonga mbele. wewe toka jana, tena kwenye thread nyingine!! lakini bado tu?? tafadhali sheikh, inatosha kwa heshima yako wewe na sisi members wenzako..........au mpaka tumwite Kofi Annan, au yule "pimbi" tumbo kubwa kaa mimba ya watoto kumi, ati na yeye siku hizi kawa "mpatanishi" wa kimataifa, bwa'kubwa che nkapa??. let go of that B.S, jumuika barzani and have funny!!!.
Asante Azimio jipya....
Leo ni siku ya kufurahia, kukamata popcorn, na pepsi na kusherekea mavuno yaliyopatikana so far. Kipindi cha pili kinakuja muda si mrefu na kazi itakuwa intense lakini yenye mafanikio zaidi........
Thanks!
Ahsante kwa hayo, nnaomba radhi kwa kuwaudhi watu, si niya yangu kumuudhi mtu bali kilichoniudhi, ni simply mimi nilikuwa nachangia thread na nikasema yangu ya kupinga ubaguzi, na muyu mwanamke akanipachika jina na kushadidia ndio langu. Nikamuambia kiutaratibu, siyo mimi huyo amsemae, lakini kakazania tu.
Anyways, narudia tena, kwa kusema: naomba msamaha kwa kuwaudhi wengi, I was out of hand kwa kupachikwa jina ambalo si langu. I hope you will all understand and forgive me. And thank you bro.[/B]
Haswa!! i was with some frieds muda kidogo uliopita; tunajinyosha kidogo kabla ya second round..you know what i told them exaclty the same words..., Ninahisi kabisa something is coming which we need geting organised .. maana kitahitaji true character...yaani kuipenda nchi kiukweli!! na kama kawaida we will persist and endure maana tunajua mafanikio yataongezeka...!!