Well mimi bado kidogo kuwa proud, i am happy not yet proud. I will be very happy and very proud to be a trully Tanzania, with brothers and sisters around the globe who have their thoughts and their hearts here in Bongoland, kama Mramba na Lowassa and company watafikishwa kwenye mkono wa sheria. Kazi inatakiwa ikamilishwe isifanyike nusu.
God our Lord, bless and save Tanzania!
Au robo.. kwa kweli nitajivunia sana kuwa Mtanzania wakati wahusika wa kila aina ya ufisadi (Richmond, IPTL, SONGAS, BOT, you name it) watakapofilisiwa na kufikishwa mahakamani. Nachukulia hatua ya kujiuzulu kwa EL & Co, kama ni kujiadhibu wenyewe. Kama walilazimishwa nyuma ya pazia kufanya hivyo, sisi hatujui kwani pongezi wanazopewa na wabunge wengi na viongozi kwa kuchukua hatua ya kujiuzulu ni ya kujenga dhana kuwa wamechukua hatua hii kwa utashi wao binafsi. Sasa, kama serikali, JK anachukua hatua gani kuwaadhibu hawa mafisadi??? I wish tungekuwa CHINA. Solution ya Ndesamburo is very, very appropriate.