Nina kiburi (I am proud) kuwa mTanzania


Au robo.. kwa kweli nitajivunia sana kuwa Mtanzania wakati wahusika wa kila aina ya ufisadi (Richmond, IPTL, SONGAS, BOT, you name it) watakapofilisiwa na kufikishwa mahakamani. Nachukulia hatua ya kujiuzulu kwa EL & Co, kama ni kujiadhibu wenyewe. Kama walilazimishwa nyuma ya pazia kufanya hivyo, sisi hatujui kwani pongezi wanazopewa na wabunge wengi na viongozi kwa kuchukua hatua ya kujiuzulu ni ya kujenga dhana kuwa wamechukua hatua hii kwa utashi wao binafsi. Sasa, kama serikali, JK anachukua hatua gani kuwaadhibu hawa mafisadi??? I wish tungekuwa CHINA. Solution ya Ndesamburo is very, very appropriate.
 

Ever heard of someone with unnecessary hard feelings? Go Mwafrica wa kike,some people just need to be ignored, attention seekers!If we really need to compare you and MWK's contribution to lowassa's downfall you wont stand a chance.Sometimes its better to be silent.
 

Mhh,

maneno ya kihanithi ndiyo yepi tena hayo!?

nnaamini ukiheshimuwenzio na wao watakuheshimu lkn kujifanya wewe ndio ree ni upuuuzi kama kuwa nje wako wengi tuko nje na hatufanyi ubarazuli kama wako, ni mara nyingi nnakuona kwenye post zako ukitumia lugha za kukebehi wengine

Mkuu mtu wa pwani,

Haya mambo ya kuishi nje yanahusiana vipi na ubarazuli na kujifanya ree na ...... Kwa kile ninachofanya hapa ninategemea explosion toka kwa whiners ndio maana huoni nikililia maziwa au kulalama kwa lugha mtu atakayotoa dhidi yangu (soma postings zangu hapa utaona hili).

Ninachofanya hapa huwa niko tayari kukisimamia na baada ya haya mapumziko, game itaendelea. Wenye explosion na pumba, watakuwa ignored au wana JF watawarudisha kwenye line.


hata hivyo nnawapongeza wale wengi wenye kujivunia utanzania wetu



Tanzania ndiko kwetu
hatuna pengine katu
asitudanganye mtu


nnaipenda tanzaniaaaaa
nnaipenda tanzaniaaaaaa

Amen
 
"At times, wisdom, is to know what to overlook and ignore"
 

You'd stand he he he
 

Thanks Judy
A very strong but also a clear message
 
.....eeenh nnaona hapa kila mtu kawa na kiburi, mipasho ndio usiseme!! utafikiri Afghanstani, kila mtu mullah, sasa nani atakuwa ma'amuma??! tuwe siriasi kidogo, lau kama mada huizimii basi ilie "kobisi" sio lazima kuosha kinywa!!........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…