Nina Kifaa Cha Kutambua Fedha zilizofichwa

Magwangala

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,836
Reaction score
2,138
Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua
 
Huyu ni zaidi ya mganga amenichekesha sana!

Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua
 
pumbavu kabisa.....hawa ndio wanamuangusha Dr Kikwete......utegemee akiwa waziri huyu si anaunganisha kisiwa cha singida na durban.....
 
Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua
aturahisishie kazi kwa kuanza na zile za uswisi !
 
Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua

Nimecheka kidogo nife, na hapo hapo nikakimbilia kwenye kabati kuangalia pesa zangu kama zipo, duh kangi lugora noma, kuwa kuna vijana wadogo wanoa wazungu wazee kumbe wanatakatisha pesa haramu huku wakitudanganya kuwa wanapewa na wazungu
 
kwani kuweka hela nyumbani kosa? hicho kifaa kinaweza kugundua pesa zilizoko uswiss?
 
Huyu lugola ndo yule alikuwa CID lakin usishangae maana kifaa chake kinaitwa stvn ngonyani
 
Yes tuwaunge mkono wote wanaopigana dhidi ya ufisadi. Wezi si wa kuwakenulia meno watatumaliza!
 
Hivi AG ana akili timamu kweli??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom