Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua
Dr Kikwete......
yes Tundu lissu amemfanya AG aonekane "mweupe"!Leo bunge lilikuwa na mambo motomoto...
aturahisishie kazi kwa kuanza na zile za uswisi !Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua
Mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugora amesema kuwa ana kifaa cha kutambua fedha zizofichwa,amedai kuwa watu wengine huficha fedha kwenye mashimo nyumbani kwao hivyo taanza kuzunguka na kuwaumbua kwa kuzifichua
pumbavu kabisa.....hawa ndio wanamuangusha Dr Kikwete......utegemee akiwa waziri huyu si anaunganisha kisiwa cha singida na durban.....