Nina kifaa kipya nipeni neno moja

Nina kifaa kipya nipeni neno moja

Wewe usije nitangaza kuwa mie ni new Chibaba wako I'm a married man na my wife yumo humu humu JF.

Pls sitaki ugomvi na mtu.
Nani kasema wewe ni new chibaba eh niambie tu mie siwezi kwasababu kwanza haupo Kama ulivyoweka kwenye profile pili jf saivi wanaume wa humu Sina mpango nao .

Sorry sana ila wengi mmechoka kabisa kwenye kipato .
 
Binti maua....

Enjoy mkuyenge,Kesha hapo kiunoni Hadi itoe cheche...ni hayo tu.
 
Mkapime Ukimwi, alafu jifunzeni usafi wa maneno na mwili.. 😎
Wa meno , aha unajua kile kipimo Cha umeme ch 50 kile mnapimwa mnaonyesha directly kama unayo unapima hivi mnatoa damu halafu kinawekewa kama kajikabati Fulani dakika 30 inatoa majibu unakijua ??
 
Huyo alifanya abortion so innocent blood impatia curse so hayupo well psychological mchunguze utagundua kitu mkuu.
So anahitaji ukombozi?
Nimeona viashiria vingi vya madhambi aliyonayo so nipo na mpango wa maombi ya kufunga ili huyu madhambi aokoke.
 
So anahitaji ukombozi?
Nimeona viashiria vingi vya madhambi aliyonayo so nipo na mpango wa maombi ya kufunga ili huyu madhambi aokoke.
Huyo Malaya anahitaji kufanyanyiwa Deliverance ili kuondoa hiyo curse .

Tofauti na happy hatoboi kanifata dm mara nyingi kuwa atongozwi so Mimi nimpa mbinu kuwa afanye Deliverance kwanza. Na aache Uzinzi
 
Ndio maana hamuolewi mmejaa dharau. Ngoja nikupe siri "uwe na adabu kama wataka Chibaba asisepe asubuhi"

Usipoishika hii siri utasikia chibaba kahamia mtaa wa 7 😂😂
Chibaba wangu nimzee unadhani mahaba ninayompa ataenda hata hapo chooni mwenyewe weh kwanza nyie ndio hamjui kuwashughulikia wake zenu vizuri hadi wanatoka njee wengine wanatoa Kwa wanaosafiri Kisa hamuwapi mapenzi hamjui kuwaanda mtu aenjoy ukimaliza umemaliza ushauri tulia weeeh kajitahidi usiachike eti mie ni married man so what na hujui maana yake 😀🤦
 
Huyo Malaya anahitaji kufanyanyiwa Deliverance ili kuondoa hiyo curse .

Tofauti na happy hatoboi kanifata dm mara nyingi kuwa atongozwi so Mimi nimpa mbinu kuwa afanye Deliverance kwanza. Na aache Uzinzi
Dah ! Hadi mwaka mpya mnanitukana sitaki gundu toa screenshort usipotoa wewe ni mwongo nafuu wewe ni malaika umeshuka huu mwaka kufanya maombi ila kafanye kwa mkeo sio kwangu mie na #chibaba new ulie uchukie hiyo shida zako .
 
Chibaba wangu nimzee unadhani mahaba ninayompa ataenda hata hapo chooni mwenyewe weh kwanza nyie ndio
Kumbe unahangaisha kibabu cha watu 😂😂😂

Sasa nimejua kwa nini unalia lia kuolewa maana umekosa vijana hahahaaa, kibabu kikikata kamba usiache kuanzisha uzi wa maombolezo 😁😁
 
Huyo Malaya anahitaji kufanyanyiwa Deliverance ili kuondoa hiyo curse .

Tofauti na happy hatoboi kanifata dm mara nyingi kuwa atongozwi so Mimi nimpa mbinu kuwa afanye Deliverance kwanza. Na aache Uzinzi
Alikujibuje?
 
Dah ! Hadi mwaka mpya mnanitukana sitaki gundu toa screenshort usipotoa wewe ni mwongo nafuu wewe ni malaika umeshuka huu mwaka kufanya maombi ila kafanye kwa mkeo sio kwangu mie na #chibaba new ulie uchukie hiyo shida zako .
Kumbe haya land ni ex wako hahahaaa sikujua kabisa kwamba una mix mix vidume tu kwa fujo 😂😂
 
Back
Top Bottom