Magawa-Dickson
New Member
- May 13, 2021
- 3
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tengeneza magazine au uwe unatengeza katuni za kisiasa apo ndo utapga helaNaombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanishaView attachment 3085690 sample za michoro
Huu ni ujuzi sio kipaji.Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanishaView attachment 3085690 sample za michoro
Ni kipaji au utaalamu!? Ni stationery sio stationaryNaombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanishaView attachment 3085690 sample za michoro
AI ni Big challenge kwakweli.Siku hizi ni kama vile watu wanatumia zaidi AI kila kitu kinakuwa kama vile ni halisi
Okey, napata wap sehem ya kujifunza animation.Jifunze animation