Nina kituo kinacholea na kusaidia watoto wenye mahitaji maalumu, nilikuwa naomba kujua njia za kupata wafadhili ili kusapoti kituo changu

Hiki kitu kiliniumiza sana maana unaingia kwenye NGO kwa ajili ya kuvolunteer. Ila wenzio wapo busy kujua tunafanya nini kupata funds.

Yani kwao ni kama chanzo cha pesa au career halafu wahitaji wanakuja mwishoni
Kusaidia mtu bila kufaidika ujue nayo ni kazi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ukiwa mdhoofu huwezi pata mfadhili.
 
Kama kitu huna uwezo nacho ni bora ungeacha kuliko kujitia ukiherehere
 
Hiki kitu kiliniumiza sana maana unaingia kwenye NGO kwa ajili ya kuvolunteer. Ila wenzio wapo busy kujua tunafanya nini kupata funds.

Yani kwao ni kama chanzo cha pesa au career halafu wahitaji wanakuja mwishoni
πŸ˜‚ bongo nyoso ila siyo Juma!
 
Tafuta biashara nyingine ya kufanya... si unaona Marekani wamesitisha misaada? Siku nyingine kuwa straight kuwa unafanya biashara ya kuwatunza watoto wenye uhitaji na sio kuwasaidia.
Hivi mnadhani kutunza watoto wenye ulemavu aliosema ni kazi rahisi? Wengine hata uwalipe mshahara mzuri watakataa kufanya hiyo kazi. BTW kazi kama hiyo inahitaji usaidizi wa watu wengi, hivyo huwezi kuepuka kuomba misaada. La muhimu ni watoto kupata matunzo yenye kiwango kinachotakiwa, haya ya yeye anafanya kwa malengo gani siyo muhimu. Chawa wa mama Samia kama kina Steve Nyerere au wale waliopelekwa Korea ambao wanamaliza kodi zetu bila kufanya kazi yoyote na huyu anayetaka kuingiza kipato kwa kusaidia walemavu ni nani mbaya? Huyu kama watoto watapata matunzo mazuri hata kama lengo lake ni biashara ni heri mara mia kuliko hiyo mi-chawa ya hovyo kabisa inayomaliza kodi za kutunza walemavu kwa starehe.
 
Iyo ipo wazi kabisa
Kuna sister mmoja namjua huwa anastruggle sana kupata funds na yeye yupo mkoa. Yule namuamini 100% maana toka akiwa Secondary alikuwa anafanya harambee za kusaidia watu.

Hivyo kuna watu wana nia kweli ya kusaidia Ila kwa wengi ni career na chanzo cha pesa
 
Dah! Pamoja na nia yako njema ya kutaka kusaidia watoto wenye uhitaji maalumu, lakini pana walakini kidogo. Unasema kimeanzishwa majuzi tu, na leo umeshafloat, je ulikianzisha kwa mhemuko? Toka kukianzisha mpaka sasa ni akina nani walokupa support? Wakati unakianzisha uliwaza picha ya kituo chako miaka 5, 10, 20 kuanzia sasa?
 
Trump kasimmaisha misaada yote kwa sasa.
 
Ndio ipo ivyo mkuu wachache sana wana moyo
 
Kwa dhumuni usaidiwe au wasaidiwe!!! Haya maisha ni nginja nginja haswa smtms kufa kufaana, potelea Mbali.

Km ni toka moyoni, Mungu akuzidishie mazuri kwako!!
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…