Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
All the best 🙏🏽Barikiwa Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best 🙏🏽Barikiwa Sana.
Iyo ipo wazi kabisaHiki kitu kiliniumiza sana maana unaingia kwenye NGO kwa ajili ya kuvolunteer. Ila wenzio wapo busy kujua tunafanya nini kupata funds.
Yani kwao ni kama chanzo cha pesa au career halafu wahitaji wanakuja mwishoni
Kusaidia mtu bila kufaidika ujue nayo ni kazi 😅😅😅 ukiwa mdhoofu huwezi pata mfadhili.Hiki kitu kiliniumiza sana maana unaingia kwenye NGO kwa ajili ya kuvolunteer. Ila wenzio wapo busy kujua tunafanya nini kupata funds.
Yani kwao ni kama chanzo cha pesa au career halafu wahitaji wanakuja mwishoni
Kama kitu huna uwezo nacho ni bora ungeacha kuliko kujitia ukiherehereWakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu.
Kituo hiki kipo Masaki , ndo kimeanzishwa hivi karibuni.
Je naomba kuuliza nitapataje wafadhili wakukisapoti kituo changu ili kikue na kuwafikiwa watoto wengi zaidi
Wapo walemavu wa viungo
Wapo wenye Usonji
Wapo vipofu
Wapo viziwi
Wapo wenye mtindio wa ubongo.
Kutokana na gharama za uendeshaji kuwa juu ningependa kupata sapoti na back up kutoka Kwa wafdhili mbali mbali ili kuhakisha tunahudumia watoto wengi zaidi.
Kituo hiki kina Nyumba za kulala watoto zipo .
Miundombinu ipo vizuri
Kipo masaki.
Karibu Kwa mawazo na ushauri .
Kuhusu idadi ya watoto inafika 50 Ila kituo kinategemea kuweza kua-Accommodate watoto 150
Facilities zote na recreation pamoja na madarasa zipo .
😂 bongo nyoso ila siyo Juma!!!Naomba social media links; instragram, facebook na twitter .
Sitaki nikuunganishe na donors kumbe umeiba picha ya majengo ya madrasa au day cares.
😂 bongo nyoso ila siyo Juma!Hiki kitu kiliniumiza sana maana unaingia kwenye NGO kwa ajili ya kuvolunteer. Ila wenzio wapo busy kujua tunafanya nini kupata funds.
Yani kwao ni kama chanzo cha pesa au career halafu wahitaji wanakuja mwishoni
Hivi mnadhani kutunza watoto wenye ulemavu aliosema ni kazi rahisi? Wengine hata uwalipe mshahara mzuri watakataa kufanya hiyo kazi. BTW kazi kama hiyo inahitaji usaidizi wa watu wengi, hivyo huwezi kuepuka kuomba misaada. La muhimu ni watoto kupata matunzo yenye kiwango kinachotakiwa, haya ya yeye anafanya kwa malengo gani siyo muhimu. Chawa wa mama Samia kama kina Steve Nyerere au wale waliopelekwa Korea ambao wanamaliza kodi zetu bila kufanya kazi yoyote na huyu anayetaka kuingiza kipato kwa kusaidia walemavu ni nani mbaya? Huyu kama watoto watapata matunzo mazuri hata kama lengo lake ni biashara ni heri mara mia kuliko hiyo mi-chawa ya hovyo kabisa inayomaliza kodi za kutunza walemavu kwa starehe.Tafuta biashara nyingine ya kufanya... si unaona Marekani wamesitisha misaada? Siku nyingine kuwa straight kuwa unafanya biashara ya kuwatunza watoto wenye uhitaji na sio kuwasaidia.
Kuna sister mmoja namjua huwa anastruggle sana kupata funds na yeye yupo mkoa. Yule namuamini 100% maana toka akiwa Secondary alikuwa anafanya harambee za kusaidia watu.Iyo ipo wazi kabisa
Trump kasimmaisha misaada yote kwa sasa.Wakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu.
Kituo hiki kipo Mikocheni, ndo kimeanzishwa hivi karibuni.
Je naomba kuuliza nitapataje wafadhili wakukisapoti kituo changu ili kikue na kuwafikiwa watoto wengi zaidi
Wapo walemavu wa viungo
Wapo wenye Usonji
Wapo vipofu
Wapo viziwi
Wapo wenye mtindio wa ubongo.
Kutokana na gharama za uendeshaji kuwa juu ningependa kupata sapoti na back up kutoka Kwa wafdhili mbali mbali ili kuhakisha tunahudumia watoto wengi zaidi.
Kituo hiki kina Nyumba za kulala watoto zipo .
Miundombinu ipo vizuri
Kipo mikocheni
Karibu Kwa mawazo na ushauri .
Kuhusu idadi ya watoto inafika 50 Ila kituo kinategemea kuweza kua-Accommodate watoto 150
Facilities zote na recreation pamoja na madarasa zipo .
Ndio ipo ivyo mkuu wachache sana wana moyoKuna sister mmoja namjua huwa anastruggle sana kupata funds na yeye yupo mkoa. Yule namuamini 100% maana toka akiwa Secondary alikuwa anafanya harambee za kusaidia watu.
Hivyo kuna watu wana nia kweli ya kusaidia Ila kwa wengi ni career na chanzo cha pesa
Prime joy special needs academyNaomba social media links; instragram, facebook na twitter .
Sitaki nikuunganishe na donors kumbe umeiba picha ya majengo ya madrasa au day cares.
Bantu Lady Leejay49 mnaitwa mjitolee 😹Naamini hata jf wapo, huwa wanagawa sana vocha na wanakiri kwamba wana moyo wa kutoa.
Nacomment ili uzi upande wapate kuuona.
Sawa mkuuDah! Pamoja na nia yako njema ya kutaka kusaidia watoto wenye uhitaji maalumu, lakini pana walakini kidogo. Unasema kimeanzishwa majuzi tu, na leo umeshafloat, je ulikianzisha kwa mhemuko? Toka kukianzisha mpaka sasa ni akina nani walokupa support? Wakati unakianzisha uliwaza picha ya kituo chako miaka 5, 10, 20 kuanzia sasa?