Nina kituo kinacholea na kusaidia watoto wenye mahitaji maalumu, nilikuwa naomba kujua njia za kupata wafadhili ili kusapoti kituo changu

Bantu Lady Leejay49 mnaitwa mjitolee 😹
Mshamba kaogopa kuwatag naona 🀣
Odo ake Lamomy Happy New Year 2025 kwanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
AmKATRINA Jamani swala la kuchangia hasa watoto, wenye uhitaji maalumu ni la wote. Haijalishi nina 500, wewe una buku wote inatupasa tuwachangie.

Kuanzisha kituo, halafu utegemee wasamalia wema tu. Naona kama ni kuwatesa watoto. Japo ni kitu kizuri sana. Naona bora mtu uwe na uwezo wa kuwamudu hata kama wachache, watakaojitolea iwe ni nyongeza. Kila la kheri mtoa mada, wenye kujua wafadhili watasaidia ili watoto, waishi vizuri na ninawaombea pia.
 
Uliazishaa kwa madhumuni gan??... Kama kusaidia Mungu akubaliki ilaa kama kupigaa helaa za misaaada the rest is history... maaana nmeona sehem nying watu wanaazisha center hizo kwa ajili ya MAOKOTO tuu...... Anyway make affiliation with churches..
Sasa si kwenye kusaidia humohumo tunasaidia ndugu au nimekosea?
 
elimu nzuri
 
Nimekumiss odo umepotelea wapi weye 😍
 
Nimekumiss odo umepotelea wapi weye 😍
Mimi zaidi Odo, umemisika sana mrembo wangu, nakuona juu kwa juu. Watu mnapotea sana. Mimi nipo, sema kuna kaubusy kananibana ila najitahidi kila wakati nitupie jicho humu. πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 
Mimi zaidi Odo, umemisika sana mrembo wangu, nakuona juu kwa juu. Watu mnapotea sana. Mimi nipo, sema kuna kaubusy kananibana ila najitahidi kila wakati nitupie jicho humu. πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Mi nipo nimejaa nashinda shamba ss hivi 😹

Hako kaubusy katakuwa na matunda mazuri 😻
 
Piga picha uku umebinua makalio na umeweka bendera ya marangirangi ya hivi🌈🌈🌈🍭🍭🍭🍭 wafadhiri watakuja chwaaaaaa kama shekh kaona surprised ya maandazi
 
Amina.
Umeongea point tupu my wii.
πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 
Kwani wakati unakianzisha mkakati wako ulikuwaje?
 
Yani umekianzisha juzi Leo unaomba msaada watajua lengo lako ni kuchunga pesa tu SHERIA MPAKA UKAE MIAKA ISIYOPUNGUA MITATU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…