Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Odo ake Lamomy Happy New Year 2025 kwanza π π π π π π π
AmKATRINA Jamani swala la kuchangia hasa watoto, wenye uhitaji maalumu ni la wote. Haijalishi nina 500, wewe una buku wote inatupasa tuwachangie.
Kuanzisha kituo, halafu utegemee wasamalia wema tu. Naona kama ni kuwatesa watoto. Japo ni kitu kizuri sana. Naona bora mtu uwe na uwezo wa kuwamudu hata kama wachache, watakaojitolea iwe ni nyongeza. Kila la kheri mtoa mada, wenye kujua wafadhili watasaidia ili watoto, waishi vizuri na ninawaombea pia.