Nina kiu lakini nina dozi ya diclopar, nilambe kilaji?

Suala Kama Hilo ni la kutulia na kufanya rational desicion sio kuuliza huku
 
Nilisikia maumivu ya Shingo kidogo nakala DICLOPAR kama masaa matatu yaliyopita. Naweza kulamba kilaji?
Kwani ukipumzika kilaji kwa siku chache unazotumia dozi utadhurika?

Kama umeamua kula kilaji, kinyume cha maelekezo ya madaktari, utakuwa unakunywa at your own risk, itakuwa kama umeamua 'indirect' kucommit suicide, kwa njia za panya!
 
Kwenye red; Watu wengi sana wanatumia hii diclopar kama 'panadol'. Side effects za hizi dawa ni kubwa sana lakini kwa sababu hii nchi iko kwenye 'auto pilot' hakuna mtu anasema chochote.
DICLOPAR=Diclofenac +paracetamol na mtu anakunywa kwa just mild pain amabyo si ajabu with time ingetulia.
Dawa ni sumu na kwa kuwa wengi tuna access internet hebu tutumie muda kidogo ku google na kuziona hizo dawa.
 
Havichangamani wine na konyagi. Inaonekana we mgeni kwenye mambo haya.

...bwanamdogo we wa wapii..?hebu gida alafu ulete mrejesho ndo utajua sisi ni wazee wa mji...
 
Unataka kufa??

Kilaji muhimu kuliko afya yako??
 
DICLOPAR=Diclofenac +paracetamol na mtu anakunywa kwa just mild pain amabyo si ajabu with time ingetulia.
Dawa ni sumu na kwa kuwa wengi tuna access internet hebu tutumie muda kidogo ku google na kuziona hizo dawa.

Nina watu 3 ndani ya familia natibu 'side-effect' za Dicloper. Hakuna haja ya kubishana, tumia Dicloper kwa miaka kama 2 halafu uje hapa JF useme mwili wako ukoje, hasa joints!
 
Wataalamu wa fani ya matibabu kwa binadamu tunatakiwa tujitahidi kuelimisha watu.
Nina kiduka cha dawa baridi lakini nimepoteza wateja kwa kuwa siuzi dawa kwa matakwa ya mgonjwa!!!
 
Nakubaliana nawe mtaalam, hasa sisi tunaojifanya kujua na wale tunaouliza maswali watu wanafanya mizaha
 
Joints zinakuwaje?Hebu tujuze mkuu!
Nina watu 3 ndani ya familia natibu 'side-effect' za Dicloper. Hakuna haja ya kubishana, tumia Dicloper kwa miaka kama 2 halafu uje hapa JF useme mwili wako ukoje, hasa joints!
 
Majibu ya google kwa wastani yanatoa majibu yanayokaribia ukweli, majibu ya hapa mengine ni majanga! Kama hujui kitu, usijibu kitu.
 
Kwenye red; Watu wengi sana wanatumia hii diclopar kama 'panadol'. Side effects za hizi dawa ni kubwa sana lakini kwa sababu hii nchi iko kwenye 'auto pilot' hakuna mtu anasema chochote.

Ni kweli, tena hakuna doctor anaeweza kumpa mgonjwa diclopar.
 
Reactions: FJM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…