Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukipumzika kilaji kwa siku chache unazotumia dozi utadhurika?Nilisikia maumivu ya Shingo kidogo nakala DICLOPAR kama masaa matatu yaliyopita. Naweza kulamba kilaji?
DICLOPAR=Diclofenac +paracetamol na mtu anakunywa kwa just mild pain amabyo si ajabu with time ingetulia.Kwenye red; Watu wengi sana wanatumia hii diclopar kama 'panadol'. Side effects za hizi dawa ni kubwa sana lakini kwa sababu hii nchi iko kwenye 'auto pilot' hakuna mtu anasema chochote.
Havichangamani wine na konyagi. Inaonekana we mgeni kwenye mambo haya.
Hahahaha ! !@twatwatwa ulivyoshangaa na mimi nimeshangaa vivyo hivyo :A S-eek:dozi ya diclopa?
DICLOPAR=Diclofenac +paracetamol na mtu anakunywa kwa just mild pain amabyo si ajabu with time ingetulia.
Dawa ni sumu na kwa kuwa wengi tuna access internet hebu tutumie muda kidogo ku google na kuziona hizo dawa.
Wataalamu wa fani ya matibabu kwa binadamu tunatakiwa tujitahidi kuelimisha watu.Nina watu 3 ndani ya familia natibu 'side-effect' za Dicloper. Hakuna haja ya kubishana, tumia Dicloper kwa miaka kama 2 halafu uje hapa JF useme mwili wako ukoje, hasa joints!
Nakubaliana nawe mtaalam, hasa sisi tunaojifanya kujua na wale tunaouliza maswali watu wanafanya mizahaWataalamu wa fani ya matibabu kwa binadamu tunatakiwa tujitahidi kuelimisha watu.
Nina kiduka cha dawa baridi lakini nimepoteza wateja kwa kuwa siuzi dawa kwa matakwa ya mgonjwa!!!
Nina watu 3 ndani ya familia natibu 'side-effect' za Dicloper. Hakuna haja ya kubishana, tumia Dicloper kwa miaka kama 2 halafu uje hapa JF useme mwili wako ukoje, hasa joints!
Kwenye red; Watu wengi sana wanatumia hii diclopar kama 'panadol'. Side effects za hizi dawa ni kubwa sana lakini kwa sababu hii nchi iko kwenye 'auto pilot' hakuna mtu anasema chochote.