Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Inawezekana kujenga mdau usihofu, tafuta kwanza ramani ya nyumba unayotaka kisha mchukue fundi uende nae site ili aone kiwanja chako alafu akupe gharama ya kupiga msingi kwanza yaani materials yanayohitajika na gharama za ufundi kisha jipange kwa kiasi hicho cha fedha utakindunduliza kwa muda gani kufikisha hizo gharama za ujenzi. Kama hakuna udokozi, si vibaya kununua tofari kidogo kidogo ili zikitosha za kupiga msingi unaanza na msingi kwanza ili utafute nguvu ya kutafuta kunyanyulia nyumbaNina kiwanja sehemu za Kwembe nataka kujenga sijui nianze vipi! uwezo wangu wa kuweka hela ni kuwa kila baada ya mwezi mmoja naweza kuwa na laki mbili mpaka nne tu si zaidi ya hapo.Hivi yawezekana nikawa nanunua tofali kidogo kidogo mpaka nikawa na stock ya kutosha? then nkaanza kujenga msingi halafu nikapandisha kidogo kidogo yawezekana?wenye uzoefu je hili linawezekana kweli mpaka siku moja nami nikawa na nyumba yangu?
Udokozi wa tofali hiyo site haupo,mkuu hapo nadhani nataka simple house ngoja nitafute hizo za msingi kwanza,kuna jamaa jirani kjenga nyumba kimasihara mpaka sasa anakaa kwenye nyumba yake,imenipa ujasiri.asante mkuuInawezekana kujenga mdau usihofu, tafuta kwanza ramani ya nyumba unayotaka kisha mchukue fundi uende nae site ili aone kiwanja chako alafu akupe gharama ya kupiga msingi kwanza yaani materials yanayohitajika na gharama za ufundi kisha jipange kwa kiasi hicho cha fedha utakindunduliza kwa muda gani kufikisha hizo gharama za ujenzi. Kama hakuna udokozi, si vibaya kununua tofari kidogo kidogo ili zikitosha za kupiga msingi unaanza na msingi kwanza ili utafute nguvu ya kutafuta kunyanyulia nyumba
Udokozi wa tofali hiyo site haupo,mkuu hapo nadhani nataka simple house ngoja nitafute hizo za msingi kwanza,kuna jamaa jirani kjenga nyumba kimasihara mpaka sasa anakaa kwenye nyumba yake,imenipa ujasiri.asante mkuu
usinunue tofali, nunua mchanga wa trip hata tano(laki laki) nunua mifuko ya cement 50-100, tofali fyatua mwenyewe.
usinunue tofali, nunua mchanga wa trip hata tano(laki laki) nunua mifuko ya cement 50-100, tofali fyatua mwenyewe.
Asante kwa kuleta feedbackWanaja jf mlinipa moyo nimekusanya vihela na nimeweza kununua tofali nilishindwa kufyatua tofali kulingana na mazingira na muda nilionao,nimenunua tofali na vihela vya fundi nina uhakika by June foundations nitakamilisha then nitakuwa napanda kidogo kidogo,jamiiforum ni darasa tosha