Jf naipenda sana imenifundisha kitu. Me kwa uweza wa Mungu kabla hatujapata raisi wa awamu ya Tano nina plans za kuwa nina sehemu najenga means 2016 niwe na nyumba yangu. Sina kazi sasa na sina hata laki mfukoni. Ila nina dhamira na plans. Naamini Mungu anasikia mahitaji yangu. Naamini atafanya