Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Habari?
Jaman tupeane michongo ya mitaji. Mimi Nina laini zote za uwakala lakin Sina pesa ya mtaji kuanza biashara hiyo.
Je wapi nàweza kupata hata mkopo wa milioni moja nianze kidogo kidogo maana hapa nilipo hakuna mawakala na watu wanapaita tabu kupata hudumu hii?
Kumbuka Sina Cha kuweka kama dhamani ya mkopo maana Nina laini na vyeti basi.
Napatikana Iringa