Sio FRONT ni float halafu Mimi Sina wenzangu so usiniringanishe na haoUna uelewa mpana na hiyo biashara lakini??, maana usije ingia kwa matarajio makubwa ukala mweleka.
hiyo milioni 1 uki ipata bora uuze hata miguu ya kuku ita kulipa.
Maana Kuna wenzako wali pataga front 1000 Kama faida.
Hapo huja weka gharama za Kodi, leseni, matumizi yako.
Aisee hiyo biashara kwa kijana anae jitafuta si mshauri.
Good luck bro
Acha kumdanganya mwenzakoUna uelewa mpana na hiyo biashara lakini??, maana usije ingia kwa matarajio makubwa ukala mweleka.
hiyo milioni 1 uki ipata bora uuze hata miguu ya kuku ita kulipa.
Maana Kuna wenzako wali pataga front 1000 Kama faida.
Hapo huja weka gharama za Kodi, leseni, matumizi yako.
Aisee hiyo biashara kwa kijana anae jitafuta si mshauri.
Good luck bro
Mkuu umemaliza lini chuoHabari?
Jaman tupeane michongo ya mitaji. Mimi Nina laini zote za uwakala lakin Sina pesa ya mtaji kuanza biashara hiyo.
Je wapi nàweza kupata hata mkopo wa milioni moja nianze kidogo kidogo maana hapa nilipo hakuna mawakala na watu wanapaita tabu kupata hudumu hii?
Kumbuka Sina Cha kuweka kama dhamani ya mkopo maana Nina laini na vyeti basi.
Napatikana Iringa
Mkuu mbon unajiwekea ugumu hvyo...hpo itakuw shida kdg kupata kile unchokihitaj coz navyojua"kupata msaada kunaanz na ww kwnz.hvyo kaa chin fikir vizuri ndpo urud ten utuambie umefikia wpHabari?
Jaman tupeane michongo ya mitaji. Mimi Nina laini zote za uwakala lakin Sina pesa ya mtaji kuanza biashara hiyo.
Je wapi nàweza kupata hata mkopo wa milioni moja nianze kidogo kidogo maana hapa nilipo hakuna mawakala na watu wanapaita tabu kupata hudumu hii?
Kumbuka Sina Cha kuweka kama dhamani ya mkopo maana Nina laini na vyeti basi.
Napatikana Iringa
Hujaona kuwa ni a laini za uwakala ndioo nilipifikiaMkuu mbon unajiwekea ugumu hvyo...hpo itakuw shida kdg kupata kile unchokihitaj coz navyojua"kupata msaada kunaanz na ww kwnz.hvyo kaa chin fikir vizuri ndpo urud ten utuambie umefikia wp
Mkuu watu wanatajirika kwa iyo biashara then wewe unasema maneno kama hayo kweliUna uelewa mpana na hiyo biashara lakini??, maana usije ingia kwa matarajio makubwa ukala mweleka.
hiyo milioni 1 uki ipata bora uuze hata miguu ya kuku ita kulipa.
Maana Kuna wenzako wali pataga front 1000 Kama faida.
Hapo huja weka gharama za Kodi, leseni, matumizi yako.
Aisee hiyo biashara kwa kijana anae jitafuta si mshauri.
Good luck bro
Ume Soma maelezo ya Jamaa kweli??, ume elewa kwa kina!.Mkuu watu wanatajirika kwa iyo biashara then wewe unasema maneno kama hayo kweli
uthubutu tu unaitajikaUme Soma maelezo ya Jamaa kweli??, ume elewa kwa kina!.
Hiyo biashara Ina ka mchakato mpaka isimame, haya hiyo 1m ata kula wapi??, nauli,
Good luck though
Usimvunje mwenzyo moyoUna uelewa mpana na hiyo biashara lakini??, maana usije ingia kwa matarajio makubwa ukala mweleka.