Nina laki 5 naomba msaada wa mawazo yenu

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
127
Reaction score
29
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.
Nimebahatika kudunduliza hela nimepata laki 5 naweza kufanya biashara gani kwa wilaya ya NAMTUMBO mjini pale.naomba mchango wa mawazo maana najua kwangu yatanisaidia.Tuache kejeli na kukatisha tamaa watu,
ASANTENI
 
solution ni kubet tu,,,ukibet hiyo laki tano ndani ya masaa machache unaweza kupata milioni kumi..!
 
Mimi nakuomba tuwasiliane kwa simu 0763797853 nitakushauri vizuri sana
 
Hii inapaswa mtu anayeijua namtumbo zaidi. but kwa huo mtaji unafaa zaidi kwa biashara za chakula. Silaha kuu uwe na uvumilivu tuu
 
kwanini unasema hivyo? watu wengi hudhani kuwa ni utapeli. mimi nakusihi tuwasiliane kama hutajali ikikufaa chukua isipokufaa acha. MUNGU ANAIJUA DHAMIRA YA MTU HATA KABLA HAJAFANYA JAMBO
 
Ichukue ikikufaa wengine htanguliza hofu. usiogope
 
kwanini unasema hivyo? watu wengi hudhani kuwa ni utapeli. mimi nakusihi tuwasiliane kama hutajali ikikufaa chukua isipokufaa acha. MUNGU ANAIJUA DHAMIRA YA MTU HATA KABLA HAJAFANYA JAMBO

Wewe utakua foreverliving
 
Nenda nazo bar nunua bia moja angalia mlevi yeyote mnunulie na yeye moja then muombe ushaur.
 
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.
Nimebahatika kudunduliza hela nimepata laki 5 naweza kufanya biashara gani kwa wilaya ya NAMTUMBO mjini pale.naomba mchango wa mawazo maana najua kwangu yatanisaidia.Tuache kejeli na kukatisha tamaa watu,
ASANTENI

kama una eneo la kutosha mahali unapoishi, anza kwa kufuga kuku wa kienyeji.
 
G'SON
Hufai kuigwa ndio ushauri gan huo?.na wasiwasi na ww na huo ubongo wako kama hauna (MR) kwa walio soma psychology watajua namaanisha nini.
 
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.
Nimebahatika kudunduliza hela nimepata laki 5 naweza kufanya biashara gani kwa wilaya ya NAMTUMBO mjini pale.naomba mchango wa mawazo maana najua kwangu yatanisaidia.Tuache kejeli na kukatisha tamaa watu,
ASANTENI

korosho tu
 
Back
Top Bottom