Nina laki sita, nifanye biashara gani?

Nina laki sita, nifanye biashara gani?

Fanya Business ambayo asilimia 80% wateja wako sio wanachuo na utaweza kuifanya hata baada ya kumaliza chuo

Nasema hivi kwa sababu kwenye biashara inatakiwa uwe na malengo ya muda mrefu sio ile unamaliza chuo na biashara inakufa hapo

Pia wanachuo wana low purchasing power
 
Nimekuelewa
 
Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, ninapesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.

Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.

Karibuni.
Mdogo wangu hio sio hela ya boom kweli? Usijitese maisha mafupi haya.

Kwa sasa kama umechagua kusoma ni bora usome vzr, kula vizuri, tengeneza linkedin profile. Ukienda likizo tafuta sehemu fanya internship. Hio itakusaidia ukimaliza tu chuo tyr una kazi moja kwa moja.

Fanya hvo kama kweli unachukia umasikini. Biashara za laki sita sita utaishia kupoteza hio yote.
 
Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.

Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.

Karibuni.
Uza mshikaki,ndizi na kachumbari.
Uza sneaker barabarani,zipange.
Uza matunda.
Tafuta fundi akufundishe kutengeneza simu,mpe 50000,ukishakwa fundi toa 200000kanunue banda la mbao utabaki 350000,nenda kanunue vifaa muhimu vya ufundi simu,au kama una computer jifunze kuflash simu mtandaoni.
Uza maziwa
 
Kama unaweza kushawish na kujifunza masuala ya afya
Stem cell business mi nzuri gharama yake ni 170,000 tu
Unaweza kutengeneza biashara kubwa sana Kama hutojali nitafute 0715720276
Utabaki nz checking ya kusurvive chronic
 
Kwanini usifanye biashara ya uwakala ndani au nje ya chuo na kuuza vocha, mtaji hauzidi hata lak 2.5.
Kuna wngn enz izo chuon walkuwa wanauza laptop na cm , walkuwa hawana maduka but walkuwa wanaenda k/koo kunajamaa walkuwa wanawafaham uko hvyo kaz ilkuwa kupga pcha zle cm na laptop kwny maduka zen wao wanapata commission kwny kla mauzo
Hii ndio wazo nilitaka kumpatia kijana,nashukuru umenisaidia kumpa wazo bora kabisa.
Hizi ndizo biashara pekee ambazo zinamfaa mwanafunzi maana zinabebeka kiurahisi,hakuna maswali mengi kutoka kwa walinzi wa chuo na pia hazitampotezea muda.
Biashara zingine hazimfai zitamvurugia muda wake wa masomo na kujikuta anaanguka kitaaluma.
 
Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.

Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini.

Karibuni.
Hicho ndicho kilichokupeleka chuo??
 
Back
Top Bottom