lol ndo nn?Hiyo inaitwa mwina
Tangu jana nikitoa mafua tundu moja inatoa mafua pamoja na damu naombeni mnifahamishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?