Nina mafua hadi natokwa damu! msaada tafadhali

Sirm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
560
Reaction score
370
Tangu jana nikitoa mafua tundu moja inatoa mafua pamoja na damu naombeni mnifahamishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
 
Pole mkuu,inawezekana uwa unatumia vidonge vya kuzuia mafua au hufanyagi mazoezi au unakulaga vitu vya baridi kwa wingi.
 
Pole sana ndugu yangu,utakuwa una aleji na nyama ya n'gombe.
 
Back
Top Bottom