Nina malalamiko dhidi ya Human Resources Officer wa TRA

Na likishapelekwa huko kwny mifuko ya pensheni ajiandae kukaa miaka 3-4 ndipo atapewa pesa zake.Yaani miezi 5 mnapiga yowe?Muandae kabisa bi.mkubwa kisaikolojia, serikali ya CCM haijali wastaafu inawaona Kama Mbwa vichaa tu.
 
Ndio Maana sijamjibu Maana akili yake Haina Akili
kwenye kazi doc zinapelekwa na HR yaani mwajiri kwa mifuko husika. Huyu mama alikuwa anaulizia na kuambiwa tunaendelea na kulishughulikia file lako. Amegundua hakuna kilichokuwa kiaendelea. Ndio atasubiri miezi sita au zaidi. Nashauri awasilane na mkuu wa kazi kama katibu mkuu moja kwa moja ili angalao ndani ya miezi sta apate mafao yake. Huyo HR ni mwuuaji kwa sababu hata fedha za kila mwezi hatapata maana PSSSF hawajawasilishiwa nyaraka kwa muda. unaotakiwa yaani miezi sita kabla ya siku ya kustaafu. Ujue unapokuwa kazini unadhani mambo yanafanyika kumbe sivyo. Na kama sharti ni ndani ya miezi 6 kabla ya siku ya kustaafu na siyo kabla ya miezi 6 huyo HR kafanya yake na yuko salama.
 
Nenda Kwa boss wake,au Takukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…