Nina malengo ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku

Nina malengo ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku

mbwiloh

New Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Habari za leo wana Jamii Forums,poleni na kazi.
Nina malengo ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku,na kutokana na kuwa na hitaji la mtaji wa kuanzisha mradi huu,nimeona vema niuze CD ya nyimbo za Injili ambayo niliwahi kuirecord.Naomba kwa utakayeweza uniunge mkono kwa kununua copy ya CD yangu,naamini kidogo kidogo nitafikia lengo.kwa utakaye hitaji nijulishe ili nikufikishie.Mungu awabariki nyote.
 
Haya bwana,nalo ni wazo japo hujatumia usemi mzuri kwani sijatafuta kuonewa huruma but nimeeleza hitaji langu.ilitosha tu kunielekeza namna ya kufanya.
 
Iweke hapa tuisikilize ili kama itatuletea upako basi tuweze kukuungisha.
 
Back
Top Bottom