ezekielboaz
Member
- Jan 16, 2010
- 11
- 1
ni kwel bro...coz hakuna k2 kibaya km kuforce luv....and then usipende kumfanyia m2 kitu ambacho hutopenda kuja fanyiwa na ww baadae,i mean kuuvunja uhusiano wa2Mara ukijiangalia unajiona mdogo, so kwa namna moja au nyingine ni mkubwa kwako, au we mwenyewe unaona huendani nae, Amekuambia ana mtu wake, basi hapo inabidi ukubaliane nae, vinginevyo utajitesa sana. Hakuna njia sanasana tukifosi itamlazimu amuache bwanaake aje kwako, kitendo ambacho si cha kistaarabu.
we Ezekiel wewe,yaani kumwona tu unawazia kuishi naye?unajua maana ya kuishi na mwanamke? kwa taarifa yako mambo haya yanataka subira na moyo wa uvumilivu.Usiwe na papara,kama ni wako utampata tu,take your time.Zoeaneni taratibu na jaribu kufanya vitu vidogo vidogo pamoja kama kula pamoja,kutembea ufukweni pamoja ,kwenda sinema pamoja n.k. Na wala msikimbilie kulalana,jengeni ukaribu kwanza, again nasema take your time.Na Mungu akiwasaidia mkaelewana msisahau kwenda Angaza,best wishes.Wapendwa wote, hi. Naomba ushauri.kuna dada nampenda sana kila ninapomuona najiona mdogo na hofu ya ajabu.nataman sana niishi nae, lakini baada ya kumtangazia nia yangu kadai anamtu wake. Wadau nimepeni njia ambazo naweza kuzitumia ili akubaliane na ombi langu. Nipo seriously.
Lizzy , mwonee huruma mtoto wa mwenzio.......Hizo njia utakazo uwe tayari zitumiwe na mtu mwingine kukupokonya na wewe.
Umemuelewa vema? Yeye kamtangazia ndoa,lakini mrembo anampezi tu! Ushauri wangu: Tuliza kichwa na moyo wako, nenda na dhamira hiyo huku ukiiweka kweli nayo kweli itawaweka huru! NB:Mapenzi ya aina hiyo ni mabaya sana,nasema hivyo kwakuwa mimi ni sehemu ya muhanga wayo!! Mtangulize mungu ktk hilo atakuonyesha mwingine wa kufanana nawe!!Hizo njia utakazo uwe tayari zitumiwe na mtu mwingine kukupokonya na wewe.
Ukweli ndio huo....ukimchukua mdada au mkaka mikononi mwa mtu wake anaedai anampenda jua kuna nafasi kubwa sana ya wewe pia kunyanganywa ikiwa atatokea mnyanganyi mwingine.Lizzy , mwonee huruma mtoto wa mwenzio.......
Kwani akiwa mpenzi ndio umeambiwa hawana mipango ya ndoa?!Na hizo ndoa mnazotangaza kabla/bila ya upenzi zina ubora zaidi ama!!?BTW....pole sana MUHANGA!Umemuelewa vema? Yeye kamtangazia ndoa,lakini mrembo anampezi tu! Ushauri wangu: Tuliza kichwa na moyo wako, nenda na dhamira hiyo huku ukiiweka kweli nayo kweli itawaweka huru! NB:Mapenzi ya aina hiyo ni mabaya sana,nasema hivyo kwakuwa mimi ni sehemu ya muhanga wayo!! Mtangulize mungu ktk hilo atakuonyesha mwingine wa kufanana nawe!!
Nashukuru kwa pole yako yenye kugusa kidonda!Juu ya ubora wa ndoa kwakuwa hatampenzi bado sijampata, mimi naamini nikimpenda mtu na kumkabidhi moyo wangu basi penzi hilo litakuwa imara kama mlima sayuni,huku tukisimamia maagano/ahadi zetu.Kwani akiwa mpenzi ndio umeambiwa hawana mipango ya ndoa?!Na hizo ndoa mnazotangaza kabla/bila ya upenzi zina ubora zaidi ama!!?BTW....pole sana MUHANGA!
Dah...pole na hongera sana.Ni wachache wa aina yako.Nashukuru kwa pole yako yenye kugusa kidonda!Juu ya ubora wa ndoa kwakuwa hatampenzi bado sijampata, mimi naamini nikimpenda mtu na kumkabidhi moyo wangu basi penzi hilo litakuwa imara kama mlima sayuni,huku tukisimamia maagano/ahadi zetu.
Mabint hawamaanishi wanachoongea!Hizo njia utakazo uwe tayari zitumiwe na mtu mwingine kukupokonya na wewe.
We nawe kwasababu tu ulitendwa basi kila mnyama mwenye mkia kageuka mbwa!Mabint hawamaanishi wanachoongea!
tha action has nothing to do with this!What i said come from reality,dont knw that?Mabint ndivyo walivyo!We nawe kwasababu tu ulitendwa basi kila mnyama mwenye mkia kageuka mbwa!
Well your reality is not MY/EVERYONES REALITY.tha action has nothing to do with this!What i said come from reality,dont knw that?Mabint ndivyo walivyo!