ezekielboaz
Member
- Jan 16, 2010
- 11
- 1
Wapendwa wote, hi. Naomba ushauri.kuna dada nampenda sana kila ninapomuona najiona mdogo na hofu ya ajabu.nataman sana niishi nae, lakini baada ya kumtangazia nia yangu kadai anamtu wake. Wadau nimepeni njia ambazo naweza kuzitumia ili akubaliane na ombi langu. Nipo seriously.