Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha.
Pia ukiangilia video jinsi walivyokuwa wanadhibiti raia waandamanaji waliokiuka amri ya Rais wao huwezi kusema ni kama wanajeshi. Wabunge pia waliwazidi nguvu na ujanja hadi wakaweza kuingia bungeni na kupiga kura kupindua amri ya kijeshi ya rais wao.
Hawa wanajeshi wa Korea Kusinini kama wako walegevu na nyoronyoro mno, siku Kim Kiduku wa Korea Kaskazini akifanya shambulio la kushitukiza nafikiri anaweza kupata upinzani mdogo sana kutoka kwao, bora waendelee kulindwa na jeshi la wanajeshi 28,000 wa Marekani tu lililoweka kambi nchini humo.