Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

Vita hivi vya FPV Drones nani anahitaji ukakamavu?!
 
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha.

Pia ukiangilia video jinsi walivyokuwa wanadhibiti raia waandamanaji waliokiuka amri ya Rais wao huwezi kusema ni kama wanajeshi. Wabunge pia waliwazidi nguvu na ujanja hadi wakaweza kuingia bungeni na kupiga kura kupindua amri ya kijeshi ya rais wao.

Hawa wanajeshi wa Korea Kusinini kama wako walegevu na nyoronyoro mno, siku Kim Kiduku wa Korea Kaskazini akifanya shambulio la kushitukiza nafikiri anaweza kupata upinzani mdogo sana kutoka kwao, bora waendelee kulindwa na jeshi la wanajeshi 28,000 wa Marekani tu lililoweka kambi nchini humo.
Hahah Jidanganye.

Huyo kiduku, kijeshi kazidiwa mbali sana na South Korea, sema tuu linapokuja swala kama hili la kudeal na raia wanaopinga amri ya Rais jambo ambalo pia lipo ndani ya haki zao, mkono wao unakuwa mpole kidogo, kwasababu south korea ni nchi ya kidemokrasia na jeshi linaheshimu haki za raia sio kama majeshi ya nchi kama za Iran au Russia, but don't let that fool you, kuwa gentle kwa raia wao haimaanishi they are weak.

Asia, ukimtoa Russia, China na India hakuna wa kumgusa South Korea.
 
Mimi nataka siku Kiduku apige tukio la uvamizi la kushitukiza ghafla halafu wanajeshi wa Marekani wakae kando pembeni kabisa iwe battle ya mtu mbili wote wakorea tupu, Kusini na Kaskazini, tuone matokeo😁
 
Ulitaka kuona wanapiga risasi raia na kuua? uko siyo Tanzania ambako vyombo vya dola vina akili zero. Huyo rais alishaingia kwenye 18 za wananchi na alikuwa hatakiwi tena. Mke wake alipokea zawadi ya bag la gharama (dola 1800)bila kufuata utaratibu. Yes dola 1800 tu na siyo kwetu Samia anavaa saa dola ya 50,000 na tunaona ni sawa. Hii ya hali ya hatari ni mawenge yake tu na wananchi wenye akili huheshimu raia wengi na wabunge na siyo mtu mmoja kwa sababu ni rais.
Anavaa saa ya dola 50,000?
 
Mimi nataka siku Kiduku apige tukio la uvamizi la kushitukiza ghafla halafu wanajeshi wa Marekani wakae kando pembeni kabisa iwe battle ya mtu mbili wote wakorea tupu, Kusini na Kaskazini, tuone matokeo😁
Wewe ni mmoja wa wale watu mliokuwa hypnotised na Kiduku, mnaodhani mikwara mingi ndio nguvu za kijeshi, recklessness na mikwara ya kiduku ndo inayomfanya watu wamwogope tukija kijeshi bado sana, technology ya south Korea pekee inamfanya awe na percentage kubwa ya kumpiga north korea hata kama wanajeshi wake wako nyoronyoro.

We endelea kuangalia maonesho ya kijeshi ya kiduku, wanajeshi wake wakipasua matofali na kupigana bakora hadi zinavunjika huku wenzako south korea wanabonyeza tu button bomu linakufikia hapo hapo ulipo.
 
Wale sio kuku waliokatwa vichwa kama wale mliowazoea, wanaheshimu utawala wa sheria na haki huwezi kupiga na kuua watu hovyo kisa tu Rais katoa agizo.

Hili ndio jibu sahihi, Kuna mataifa kuua raia wao sio rahisi hivyo, by the way military drill za wanajeshi wa Korea Kusini huwa balaa sana, wale ni badass, ikumbukwe hiyo nchi ndio chimbuko la Tae Kwon Do
 
Huyu ana akili za kikobazi alafu haya majitu hayajui waarabu ndo washenzi wa upuuzi huo
Hao waarabu ndio waliokuchana malinda?

Naona umeamua kuweka ushuhuda wako hapa,

Wewe mbona una akili za kikafiri ila hakuna aliyekusema? Punguza ujinga,huu sio uzi wa dini.
 
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha.

Pia ukiangilia video jinsi walivyokuwa wanadhibiti raia waandamanaji waliokiuka amri ya Rais wao huwezi kusema ni kama wanajeshi. Wabunge pia waliwazidi nguvu na ujanja hadi wakaweza kuingia bungeni na kupiga kura kupindua amri ya kijeshi ya rais wao.

Hawa wanajeshi wa Korea Kusinini kama wako walegevu na nyoronyoro mno, siku Kim Kiduku wa Korea Kaskazini akifanya shambulio la kushitukiza nafikiri anaweza kupata upinzani mdogo sana kutoka kwao, bora waendelee kulindwa na jeshi la wanajeshi 28,000 wa Marekani tu lililoweka kambi nchini humo.
Vita siku hizi inapigwa kwa teknolojia si kwa magobole na mieleka.

Kupata positions za adui yako kwa satellite na kumpiga kwa mabomu kutoka kwenye ndege na drones kunaweza kuwa muhimu kuliko misuli ya wanajeshi wako.
 
Back
Top Bottom