Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

Vita hivi vya FPV Drones nani anahitaji ukakamavu?!
 
Hahah Jidanganye.

Huyo kiduku, kijeshi kazidiwa mbali sana na South Korea, sema tuu linapokuja swala kama hili la kudeal na raia wanaopinga amri ya Rais jambo ambalo pia lipo ndani ya haki zao, mkono wao unakuwa mpole kidogo, kwasababu south korea ni nchi ya kidemokrasia na jeshi linaheshimu haki za raia sio kama majeshi ya nchi kama za Iran au Russia, but don't let that fool you, kuwa gentle kwa raia wao haimaanishi they are weak.

Asia, ukimtoa Russia, China na India hakuna wa kumgusa South Korea.
 
Mimi nataka siku Kiduku apige tukio la uvamizi la kushitukiza ghafla halafu wanajeshi wa Marekani wakae kando pembeni kabisa iwe battle ya mtu mbili wote wakorea tupu, Kusini na Kaskazini, tuone matokeo😁
 
Anavaa saa ya dola 50,000?
 
Mimi nataka siku Kiduku apige tukio la uvamizi la kushitukiza ghafla halafu wanajeshi wa Marekani wakae kando pembeni kabisa iwe battle ya mtu mbili wote wakorea tupu, Kusini na Kaskazini, tuone matokeo😁
Wewe ni mmoja wa wale watu mliokuwa hypnotised na Kiduku, mnaodhani mikwara mingi ndio nguvu za kijeshi, recklessness na mikwara ya kiduku ndo inayomfanya watu wamwogope tukija kijeshi bado sana, technology ya south Korea pekee inamfanya awe na percentage kubwa ya kumpiga north korea hata kama wanajeshi wake wako nyoronyoro.

We endelea kuangalia maonesho ya kijeshi ya kiduku, wanajeshi wake wakipasua matofali na kupigana bakora hadi zinavunjika huku wenzako south korea wanabonyeza tu button bomu linakufikia hapo hapo ulipo.
 
Wale sio kuku waliokatwa vichwa kama wale mliowazoea, wanaheshimu utawala wa sheria na haki huwezi kupiga na kuua watu hovyo kisa tu Rais katoa agizo.

Hili ndio jibu sahihi, Kuna mataifa kuua raia wao sio rahisi hivyo, by the way military drill za wanajeshi wa Korea Kusini huwa balaa sana, wale ni badass, ikumbukwe hiyo nchi ndio chimbuko la Tae Kwon Do
 
Huyu ana akili za kikobazi alafu haya majitu hayajui waarabu ndo washenzi wa upuuzi huo
Hao waarabu ndio waliokuchana malinda?

Naona umeamua kuweka ushuhuda wako hapa,

Wewe mbona una akili za kikafiri ila hakuna aliyekusema? Punguza ujinga,huu sio uzi wa dini.
 
Vita siku hizi inapigwa kwa teknolojia si kwa magobole na mieleka.

Kupata positions za adui yako kwa satellite na kumpiga kwa mabomu kutoka kwenye ndege na drones kunaweza kuwa muhimu kuliko misuli ya wanajeshi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…