Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Endeleeni kumsikiliza lissu

mwenzenu yuko fully funded huko alipo…. Wewe endelea kutafuta Pesa ya kula
 
Tunaona mara Serengeti mara kwa machifu. Kama vilevile mara Tanga mara iringa.
 
Waswahel wanasema lisemwalo lipo kama halipo laja
 
Kukiwa na katiba imara gender sio ishu kabisa
 

hapa tuongozwe kijeshi tu maana hawa pesa ikitakiwa ni kuchukua akaunt za mafsad wa ccm bac nchi ina simama
 
Acha chuki za kipumbavu wewe! Huyo JIwe ka-reform nini zaidi ya kuua watu, na kuwafanya watu waishi kwa mashaka kipindi chake chote alichoongoza?! Huyo Jiwe ka-reform nini zaidi ya kutuachia miradi kichaa kama ndege?! Huyo Jiwe ka-reform nini zaidi ya kuelekeza mali za umma kijijini kwake?! Huyo Jiwe ka-reform nini zaidi ya kujaza watu wa kwao serikalini na kwenye idara zake? Umeumia baada ay kuondolewa nani?! Kalemani, au? Yaani bora CCM itawale milele kuliko kuwa na watu wenye chuki aina yako kwa sababu watu aina yenu ndio ambao wanaifanya dunia isiwe na amani kokote waliko! Na wafu aina yako ndo wale wakipata madaraka wanajaza ukoo wao kila ofisi!! Shame on you na uchafu wako wa ukanda, udini na ukabila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…