Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kuna uwezekano wakawa na dhumuni hilo au linalo fanana na hilo. Hiyo picha wameweka kwenye gari lao ili kuficha wanachokifanya.Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift...
Ana miaka tisa tu huyo!Acha wake za watu, cheki ulivyo na wasiwasi sasa.
Swali, je umebaka mtoto wa mtu, umetembea na mke wa mtu, wewe ni kibaka wa kitaa, mpiga punyeto hadharani?Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.
Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.
Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.
Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti,gari yao ina poster,bango,notisi,kuhusu mtu aliyepotea.
Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me.Just suspicion,not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Your tip doesn't add up, because you failed to note the car registration number, the color and mobile phone number posted at the back wind screen as you claimed.Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.
Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.
Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.
Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti,gari yao ina poster,bango,notisi,kuhusu mtu aliyepotea.
Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me.Just suspicion,not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Ulirekodi namba za gari?Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.