Uchaguzi 2020 Nina mashaka na idadi ya wapiga kura 2020

Mkuu ungeanzisha chama chako ili udai tume huru. Kilichoendelea kwenye bunge lile la katiba tayari ccm walikuwa na majibu yao mfukoni.
 
Mkuu ungeanzisha chama chako ili udai tume huru. Kilichoendelea kwenye bunge lile la katiba tayari ccm walikuwa na majibu yao mfukoni.
Nimeshasema CCM ni mafundi, walitega mtego, Kina Lissu wakauingia. Hilo tu
 
Hao wamefanya uhuni waliofanya kipindi cha uchanguzi wa serikali za mitaa.
Kipindi kile waliwapa walimu kazi ya kunakili majina hata ya watu ambao hawapo. Jafo analijua vizuri hili.
 
Jiwe ni mpango wa Mungu kwa taifa letu pendwa, Tz. Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio ilikuwa fursa ya kuleta Tanzania mpya ya haki na amani lakini kwa sababu azijuazo Mungu hiyo fursa ikatoweka kinyemela! Sasa fursa nyingine ni ubabe wa Jiwe. Ubabe wa Jiwe ni baraka ya kuwaamsha waliokuwa wamelala kuamka kama Moi alivyoisadia Kenya.
 
Si mlikuwa nnahamasishana humu msiende kuhakiki taarifa zenu?

Ndio maana tunaishangaa NEC iweje kuna watu walikuwa wanahamasishwa wasijiandikishe ila wao wana idadi kuwa watu wote wamejiandikisha!? Yaani kwa ujumla hujatetea bali ndio unazidi kuweka utata.
 
Nimeshasema CCM ni mafundi, walitega mtego, Kina Lissu wakauingia. Hilo tu

Huo ni ufundi au utoto? Watu wanataka katiba kwa ajili ya utawala mzuri wa nchi, wao wanaweka uccm kwenye katiba! Halafu na ww unaongea kwa bashasha kama ni kitendo cha maana, kumbe unashabikia upuuzi.
 
Leteni idadi yenu basi ya hao wapiga kura mnaowajua nyinyi tuone
 
Watu walijitokeza ndiyo hao 29 mil hata Kama mliwakataza
Ndio maana tunaishangaa NEC iweje kuna watu walikuwa wanahamasishwa wasijiandikishe ila wao wana idadi kuwa watu wote wamejiandikisha!? Yaani kwa ujumla hujatetea bali ndio unazidi kuweka utata.
 
Tuseme milioni 20 ni wale walijiandikisha mwaka 2015 na hao 9 milioni ni wale wapya hapo vipi

Kwani huko ufipa huwa mnakusanya kadi za kura za wanachama wenu ili kupata idadi ya watakao wapigia kura
Tuwe 59m+, kisha waliojiandikisha wawe nusu yake, yaani watu wote wenye miaka 18 na kuendelea! Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
1. Kwani daftari la wapiga kura ni mali ya siri ya NEC kiasi ambacho vyama na wagonbea au mtu yeyote hana access ya kulihakiki?

2. Kwanini kila chama kisiwe na nakala ya daftari la mpiga kura? Ni kosa kuwa na nakala? Sheria inasemaje kwa wanaojua?
 
Tuseme milioni 20 ni wale walijiandikisha mwaka 2015 na hao 9 milioni ni wale wapya hapo vipi

Kwani huko ufipa huwa mnakusanya kadi za kura za wanachama wenu ili kupata idadi ya watakao wapigia kura

Narudia tena boss, hakuna uwezekano wa nusu ya wananchi wote kujiandikisha. Na isitoshe hakuna uwezekano ya watu nusu ya nchi kuwa sawa kwa walio na miaka 18+, na walio chini ya miaka 18. Mtaishia kuleta Utetezi wa kijinga, lakini matokeo ya uchaguzi yatakuwa sio halali.
 
Nilicheka 2015 waliojiandikisha ukitoa waliopiga kura na kura zilizoharibika hazikumatch..alafu Jaji Lubuva anaulizwa akadai yeye kaletewa kutangaza tu..waafrika manyani naungana na Coach Luc Eymel
 
Huo ni ufundi au utoto? Watu wanataka katiba kwa ajili ya utawala mzuri wa nchi, wao wanaweka uccm kwenye katiba! Halafu na ww unaongea kwa bashasha kama ni kitendo cha maana, kumbe unashabikia upuuzi.
Unataka kuniambia Ccm inataka iondoke madarakani, sahau hilo mkuu. Chama cha siasa kinataka kushika dola, na kama kuna mwanya wowote kinautumia. Na Ccm inafanya hivyo, chadema wangefanya hivyo n.k.

Hakuna Chama kitakuwa madarakani kitatamani kuachia madaraka.
 
Kama hujajiandikisha wewe ulie tu!
 
Huo ni ufundi au utoto? Watu wanataka katiba kwa ajili ya utawala mzuri wa nchi, wao wanaweka uccm kwenye katiba! Halafu na ww unaongea kwa bashasha kama ni kitendo cha maana, kumbe unashabikia upuuzi.
Mlisema hampigi kura mpaka Katiba Mpya sasa imekula kwenu! Tulieni tu ili tarehe 28/10/2020 tuwakate vichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…