Uchaguzi 2020 Nina mashaka na idadi ya wapiga kura 2020

Ama chadema safari hii mnjitekenya na kucheka wenyewe sasa mnaanza kupambana na idadi...loh kama mmeshashindwa nyamazeni kimya acheni kutafuta visingizio
 
Mlisema hampigi kura mpaka Katiba Mpya sasa imekula kwenu! Tulieni tu ili tarehe 28/10/2020 tuwakate vichwa!

Tarehe 28 mnangoja kula vichwa gani wakati tayari mna matokeo mfukoni? Ombeni watu waendelee kuwa makondoo, kinyume na hapo kilio itakuwa ni kuombea amani.
 
Tarehe 28 mnangoja kula vichwa gani wakati tayari mna matokeo mfukoni? Ombeni watu waendelee kuwa makondoo, kinyume na hapo kilio itakuwa ni kuombea amani.
Uwezo huo huna wewe!! Wanawasubiri barabarani mkuu!! Wahi nafasi.
 
Hakuna anaenizunguka ambae nimeshuhudia kajiandikisha.
Pia familia yangu yote hakuna aliejiandikisha. Kitambulisho cha taifa tuliona kinatosha.
Achilia mbali wewe binafsi ila hata wanaokuzunguka utakuta asilimia kubwa hawajajiandikasha ila idadi ilotwaja duuh
 
Uko sahihi kabisa dogo kwa ufuatiliaji wako. Sasa sijui wasiwasi wako wapi? Kwa mujibu wa takwimu zako ni kwamba wenye umri kuanzia siku moja hadi miaka 15 ni 44.8% = (59.7milioni × 44.8%) ni watu 26.35 milioni, miaka 16 hadi 64 ni 52% = (59.7milioni × 52%) ni watu 31.04 milioni na miaka 64 na zaidi ni 3.2% = (59.7 × 3.2%) ni watu 1.81milioni. kati hao kundi la pili (miaka 16 hadi 64) wenye umri wa miaka 16 hadi 18 ni 2 milioni ambao umri wao haurusiwi kupiga kura, je idadi haiwezi kufika hao 29 milioni ambao tume imeandikisha? Tuambie wasiwasi wako kijana.
 
Waliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 22milioni na sio waliopiga kura kijana, siku zote hawawezi kupiga kura watu wote maana kuna wagonjwa, wapiga mboyoyo kama wewe ni wengi mno.
 
Cdm munahofu kubwa sana ya kushindwa. Mwisho wa siku mutajikuta hata nyinyi wenyewe hapo ufipa hamuaminiani.
Kama unaona tume imekosea, lete wewe idadi yako iliyo sahihi.
Ahaa! Iv unaelewa age distribution ya TZ jinsi ilivyo?
Mleta mada kaleta "speculations" zake ambazo kwa namna moja zinaweza kuwa ni za ukweli, ila "speculations" hizo zitakuwa za uongo endapo Tume ya uchaguzi itakuja na clarifications zisizo na shaka.
 
Waliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 22milioni na sio waliopiga kura kijana, siku zote hawawezi kupiga kura watu wote maana kuna wagonjwa, wapiga mboyoyo kama wewe ni wengi mno.
Kutoka 22m mwaka 2015 Sasa wameongezeka 7m plus kufikia 29m plus? Kama hesabu hiyo Ni sawa Basi mmehesabu na wafu mkachanganya na walio hai kufikia idadi hiyo.usiku mwema
 
Kutoka 22m mwaka 2015 Sasa wameongezeka 7m plus kufikia 29m plus? Kama hesabu hiyo Ni sawa Basi mmehesabu na wafu mkachanganya na walio hai kufikia idadi hiyo.usiku mwema
Kumbuka kuwa ni miaka mitano hiyo watanzania wangapi wafikia miaka 18 kila Mwaka?
 
Anzia idadi ya watu,nani anajua idadi kamili ya watu?
Kwani sensa nazo sio sahihi.
Kama 2015 idadi ilikisiwa milioni 23 ya wapiga kura,sishanghai ikiwa milioni 29.Kumbuka birth rate yetu ni kubwa.UMATI ilizikwa baada ya Mwl.Nyerere kuachia madaraka.Pia Wakimbizi wengi wamepewa uraia.
Dawa ni kusajiri wananchi kupitia kitambulisho cha NIDA.kitambulisho hicho ndio muarobaini.
 
Kumbuka kuwa ni miaka mitano hiyo watanzania wangapi wafikia miaka 18 kila Mwaka?
Kumbuka vilevile idadi ya vifo ni dogo kuliko wanaozaliwa kijana, na ndio maana 2012 sensa ilisema tupo 48 milioni leo hii tunakadiria kufikia 60 milioni.
 
Bado idadi ya 29 M haiwezi kufika, hususani ukizingatia hamasa ya kuwataka wanainchi kujiandikisha haikuwa kubwa ukilinganishwa na 2010 - 2015.
Pia, ile hali na shahuku ya watu kujiandikisha ilishuka sana Mwaka huu.
Au unasemaje bosi wangu?
 
Waliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 22milioni na sio waliopiga kura kijana, siku zote hawawezi kupiga kura watu wote maana kuna wagonjwa, wapiga mboyoyo kama wewe ni wengi mno.
Halafu hao watu wenye 3% ambao ni 1.81milioni ni wapiga kura hivyo tume ipo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…