Yatakukuta wewe na wala si Mwenyekiti wa NEC!Semistocles Kaijage amaeamua kwa makusudi kucheza na akili za watanzania, ila ajiandae kwa yatakayomkuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatakukuta wewe na wala si Mwenyekiti wa NEC!Semistocles Kaijage amaeamua kwa makusudi kucheza na akili za watanzania, ila ajiandae kwa yatakayomkuta.
Mlisema hampigi kura mpaka Katiba Mpya sasa imekula kwenu! Tulieni tu ili tarehe 28/10/2020 tuwakate vichwa!
Uwezo huo huna wewe!! Wanawasubiri barabarani mkuu!! Wahi nafasi.Tarehe 28 mnangoja kula vichwa gani wakati tayari mna matokeo mfukoni? Ombeni watu waendelee kuwa makondoo, kinyume na hapo kilio itakuwa ni kuombea amani.
Achilia mbali wewe binafsi ila hata wanaokuzunguka utakuta asilimia kubwa hawajajiandikasha ila idadi ilotwaja duuh
Wajumbe wa ccm walijiandikisha kwa niaba yenu.Hakuna anaenizunguka ambae nimeshuhudia kajiandikisha.
Pia familia yangu yote hakuna aliejiandikisha. Kitambulisho cha taifa tuliona kinatosha.
Uko sahihi kabisa dogo kwa ufuatiliaji wako. Sasa sijui wasiwasi wako wapi? Kwa mujibu wa takwimu zako ni kwamba wenye umri kuanzia siku moja hadi miaka 15 ni 44.8% = (59.7milioni × 44.8%) ni watu 26.35 milioni, miaka 16 hadi 64 ni 52% = (59.7milioni × 52%) ni watu 31.04 milioni na miaka 64 na zaidi ni 3.2% = (59.7 × 3.2%) ni watu 1.81milioni. kati hao kundi la pili (miaka 16 hadi 64) wenye umri wa miaka 16 hadi 18 ni 2 milioni ambao umri wao haurusiwi kupiga kura, je idadi haiwezi kufika hao 29 milioni ambao tume imeandikisha? Tuambie wasiwasi wako kijana.Makadirio ya Idadi ya watu Tanzania 2020 ni Milioni 59.7.
Idadi hii imegawanyika kama ifuatavyo:
1. Walioko chini ya miaka 15 ni zaidi ya 44.8%
2. Katikati ya miaka 15 hadi 64 ni 52%
3. Walozidi miaka 64 ni 3%
Miaka inayoruhusiwa kupiga kura ni zaidi ya miaka 18 ambayo tukiangalia katika huo mgawanyo inaleta picha kuwa nusu au karibu na nusu ya Watanzania wako chini ya miaka 18.
Hivyo kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi tayari tuna idadi ambayo inakaribi milioni 29[(44.8%(chini ya miaka 15)+ a waliokuwa na miaka 15-17)] ikiwa hawaruhusiwi kupiga kura.
Point yangu:
Idadi ya ambao wamejiandikisha ni milioni 29(kama nimekosea nirekebishwe) Idadi hii inaenda sambamba au kukaribiana na idadi ya watanzania halali wanao ruhusiwa kupiga kura(bila kujiandikisha).
Kwa elimu ya watanzania na majukumu yao naeza kusema, waliojitokeza kwenye kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura haikuwa kubwa kutokana na sababu kama zifuatazo
1. Kununuliwa kwa wapinzani(hivyo watu wengi kupuuzia hata swala la kuja kupiga kura)
2. Kupatikana kitambulisho ambacho kina nguvu kuliko cha kura (Kitambulisho cha Taifa kimeonekana kina nguvu sana katika maswala mengi hivyo watu wengi walokuwa wakijiandikisha kwa ajili ya kupata kitambulisho cha kura kwajili ya kazi zao, kupuuzia baada ya kupata mbadala.)
3. Mchezo mchafu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana(2019) huu ulipunguza kasi sana na morali kwa watu wengi.
Kwa hayo machache: Je, tunakubali kuwa idadi tulopewa ya walojiandikisha ni sawa?
Kama sio sawa basi kutakuwepo watu hewa ambao kazi yake wahusika wanaijua ni ipi.
Na kama ni kweli, basi niwapongeze sana NEC kuhamasisha watu kujiandikisha Kwenye Daftari la uchaguzi.
Waliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 22milioni na sio waliopiga kura kijana, siku zote hawawezi kupiga kura watu wote maana kuna wagonjwa, wapiga mboyoyo kama wewe ni wengi mno.Hii iss
Hii issue Ni very serious.mwaka 2015 wakati wa uchaguzi Mkuu, magufuli alipata kura 8m plus na Lowasa 6m plus. Ukijumlisha unapata 14m plus.sasa vyama vingine na mabso hawakupiga kura may be 2m plus.jumla inakuwa 16m plus. Mwaka huu tume ya uchaguzi umetoa wapi watanzania waliojiandikisha 29m plus?
Ahaa! Iv unaelewa age distribution ya TZ jinsi ilivyo?Cdm munahofu kubwa sana ya kushindwa. Mwisho wa siku mutajikuta hata nyinyi wenyewe hapo ufipa hamuaminiani.
Kama unaona tume imekosea, lete wewe idadi yako iliyo sahihi.
Kutoka 22m mwaka 2015 Sasa wameongezeka 7m plus kufikia 29m plus? Kama hesabu hiyo Ni sawa Basi mmehesabu na wafu mkachanganya na walio hai kufikia idadi hiyo.usiku mwemaWaliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 22milioni na sio waliopiga kura kijana, siku zote hawawezi kupiga kura watu wote maana kuna wagonjwa, wapiga mboyoyo kama wewe ni wengi mno.
Kumbuka kuwa ni miaka mitano hiyo watanzania wangapi wafikia miaka 18 kila Mwaka?Kutoka 22m mwaka 2015 Sasa wameongezeka 7m plus kufikia 29m plus? Kama hesabu hiyo Ni sawa Basi mmehesabu na wafu mkachanganya na walio hai kufikia idadi hiyo.usiku mwema
Anzia idadi ya watu,nani anajua idadi kamili ya watu?Makadirio ya Idadi ya watu Tanzania 2020 ni Milioni 59.7.
Idadi hii imegawanyika kama ifuatavyo:
1. Walioko chini ya miaka 15 ni zaidi ya 44.8%
2. Katikati ya miaka 15 hadi 64 ni 52%
3. Walozidi miaka 64 ni 3%
Miaka inayoruhusiwa kupiga kura ni zaidi ya miaka 18 ambayo tukiangalia katika huo mgawanyo inaleta picha kuwa nusu au karibu na nusu ya Watanzania wako chini ya miaka 18.
Hivyo kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi tayari tuna idadi ambayo inakaribi milioni 29[(44.8%(chini ya miaka 15)+ a waliokuwa na miaka 15-17)] ikiwa hawaruhusiwi kupiga kura.
Point yangu:
Idadi ya ambao wamejiandikisha ni milioni 29(kama nimekosea nirekebishwe) Idadi hii inaenda sambamba au kukaribiana na idadi ya watanzania halali wanao ruhusiwa kupiga kura(bila kujiandikisha).
Kwa elimu ya watanzania na majukumu yao naeza kusema, waliojitokeza kwenye kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura haikuwa kubwa kutokana na sababu kama zifuatazo
1. Kununuliwa kwa wapinzani(hivyo watu wengi kupuuzia hata swala la kuja kupiga kura)
2. Kupatikana kitambulisho ambacho kina nguvu kuliko cha kura (Kitambulisho cha Taifa kimeonekana kina nguvu sana katika maswala mengi hivyo watu wengi walokuwa wakijiandikisha kwa ajili ya kupata kitambulisho cha kura kwajili ya kazi zao, kupuuzia baada ya kupata mbadala.)
3. Mchezo mchafu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana(2019) huu ulipunguza kasi sana na morali kwa watu wengi.
Kwa hayo machache: Je, tunakubali kuwa idadi tulopewa ya walojiandikisha ni sawa?
Kama sio sawa basi kutakuwepo watu hewa ambao kazi yake wahusika wanaijua ni ipi.
Na kama ni kweli, basi niwapongeze sana NEC kuhamasisha watu kujiandikisha Kwenye Daftari la uchaguzi.
Kumbuka vilevile idadi ya vifo ni dogo kuliko wanaozaliwa kijana, na ndio maana 2012 sensa ilisema tupo 48 milioni leo hii tunakadiria kufikia 60 milioni.Kumbuka kuwa ni miaka mitano hiyo watanzania wangapi wafikia miaka 18 kila Mwaka?
Bado idadi ya 29 M haiwezi kufika, hususani ukizingatia hamasa ya kuwataka wanainchi kujiandikisha haikuwa kubwa ukilinganishwa na 2010 - 2015.Uko sahihi kabisa dogo kwa ufuatiliaji wako. Sasa sijui wasiwasi wako wapi? Kwa mujibu wa takwimu zako ni kwamba wenye umri kuanzia siku moja hadi miaka 15 ni 44.8% = (59.7milioni × 44.8%) ni watu 26.35 milioni, miaka 16 hadi 64 ni 52% = (59.7milioni × 52%) ni watu 31.04 milioni na miaka 64 na zaidi ni 3.2% = (59.7 × 3.2%) ni watu 1.81milioni. kati hao kundi la pili (miaka 16 hadi 64) wenye umri wa miaka 16 hadi 18 ni 2 milioni ambao umri wao haurusiwi kupiga kura, je idadi haiwezi kufika hao 29 milioni ambao tume imeandikisha? Tuambie wasiwasi wako kijana.
Waliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 22milioni na sio waliopiga kura kijana, siku zote hawawezi kupiga kura watu wote maana kuna wagonjwa, wapiga mboyoyo kama wewe ni wengi mno.
Halafu hao watu wenye 3% ambao ni 1.81milioni ni wapiga kura hivyo tume ipo sahihi.Uko sahihi kabisa dogo kwa ufuatiliaji wako. Sasa sijui wasiwasi wako wapi? Kwa mujibu wa takwimu zako ni kwamba wenye umri kuanzia siku moja hadi miaka 15 ni 44.8% = (59.7milioni × 44.8%) ni watu 26.35 milioni, miaka 16 hadi 64 ni 52% = (59.7milioni × 52%) ni watu 31.04 milioni na miaka 64 na zaidi ni 3.2% = (59.7 × 3.2%) ni watu 1.81milioni. kati hao kundi la pili (miaka 16 hadi 64) wenye umri wa miaka 16 hadi 18 ni 2 milioni ambao umri wao haurusiwi kupiga kura, je idadi haiwezi kufika hao 29 milioni ambao tume imeandikisha? Tuambie wasiwasi wako kijana.