Nina mashaka na Rais wa Ukraine ni mamluki upande wa Urusi

Nina mashaka na Rais wa Ukraine ni mamluki upande wa Urusi

Kwa hiyo wewe ulitaka alivyovamiwa nchi kwake na Urusi angeikabidhi nchi yake kiroho safi kwa Putin ili raia wake wasiwe wakimbizi?
Hakuvamiwa ila alikaribisha PANYA ROAD nyumbani kwake wanaojiita NATO. Putin ameonya, ila ZELE akakaza FUVU.

Hivyo, Bw Putin akaamua kupiga MBWA NA MWENYE MBWA.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mtoa uzi ana akili timamu, na uzi wake unatafakilisha na unauonyesha wazi kwamba umeandikwa na mtu anayekuwa kutafakari,, WANAOSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA KAMA WEWE, BONGO ZAO HAZIWEZI TOA HEKIMA.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Naona ume bold kabisa ili tujue kwa urahisi kwamba unapakuliwa, bahati mbaya mimi sili Mashoga kama wewe
 
Urusi anaposema kitu atafanya ujue atafanya kweli

Hebu niambie kipi amesema akafanya? Kuichukua kiev in 2 days? Atakae ingilia atakion cha mtema kuni na nini kinaendelea? Majimbo aliosema yamepigiwa kura na ni sehem ya urusi kipi amefanya, zaid na zaidi drones ndio zimezama mpaka Kremlin kabisa yule anaitwa Bob Mikwara kam wa sani
 
1. Tupe ushahidi kwamba alisema ataichukua Kiev in 2 days
2.Waulize maafisa wa NATO kilichowakuta kwenye mahandaki huko...au unajifanya hujui?Hayo machumachuma ya West yanachomwa tu
3.Unajua ni asilimia ngapi ya majimbo ya hayo majimbo imebaki mikononi mwa Ukraine mpaka sasa??Huko vifaru vinachomwa tu...
 
Back
Top Bottom