WANANCHI wana mashaka; kuwa huenda muda uliopangwa kuanza na kumalizika mikutano ya Bunge Maalum la Katiba usitoshe kutokana na kuahirisha vikao vya kutengeneza kanuni, mathalani wakichukulia mfano leo ambapo mkutano huko Dodoma unaanza saa 10 jioni.