kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Yani NBAA wamewakabidhi matokeo tangu tarehe 23 mwezi huu, wenyewe mpaka leo hawajayatangaza, wanasubiri nin kama sio uchakachuzi tu unafanyika huko?
HakikaJiandaeni kisaikolojia
😂😂😂Hahaha 🤣 🤣 😂 acha inyeshe tujue panapo vuja ila leo vilio vingi sana natabili
Mpaka saa hizi bado 0-0Wabongo kwa kulalamika [emoji119]
Tayari walishafanya yao, editing za kutosha hapo , jamaa wahuni sana hao. Watoto wa walala hoi wajiandae kisaikolojia[emoji1]Yanachomekwa majina ya watoto wa vigogo.