Nina mashaka na TRA huenda wakachakachua matokeo

TRA ni muunganyiko wa Familia za makabila frani ambayo mikakati Yake ipo kwenye msingi ya kifedha na umaarufu kwa watu wenye nguvu! Kwahyo kuweni wapole mambo yapo jikoni
 
Yani NBAA wamewakabidhi matokeo tangu tarehe 23 mwezi huu, wenyewe mpaka leo hawajayatangaza, wanasubiri nin kama sio uchakachuzi tu unafanyika huko?
Wana chambuliwa kwanza ili makada wa ccm wapewe kipaumbele ...nilionya kuhusu wanasiasa kuwa wapiga kura
 
Taasisi ambayo inashindwa kusimamia zoezi dogo Kama hili na kumeet deadline. Inawezaje kukusanya Kodi kwa ufanisi nchi NZIMA?
 
Taasisi ambayo inashindwa kusimamia zoezi dogo Kama hili na kumeet deadline. Inawezaje kukusanya Kodi kwa ufanisi nchi NZIMA?
Acha tu..

Watu wanahisi harufu mbaya ya upangaji matokeo..

Sababu ya " mchelewesho" wote huo ni ipi [emoji2960][emoji848]
 
Nimekandwa kishujaa 75 wamekata 79 sio mbaya naangalia mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…