Nina mashaka na ushindi wa Jackpot wa Abdulazizi

Nina mashaka na ushindi wa Jackpot wa Abdulazizi

Kwa mara ya kwanza nimeingiwa hofu kuwa hii michezo huenda ikawa na hila nyingi.

Mshindi wa hivi karibuni kwa jina Abdulaziz,alijitambulisha kwa fani ambayo sijawahi kuisikia duniani-"Pharmacistic laboratory!" Ni gani mpya sijui ina husiana na nini!Wasi wasi wangu ni kwamba,alitaka kujiita pharmacist yaani Mfamasia.Ila kwa jinsi alovyoitamka nimejikuta naamini kuwa huyu mtu amefundishwa aseme ni nani nadhani kwa lengo la kupngeza wateja wenye fani hiyo.
Ajabu ni kuwa video yake aloyojitambulisha kama pharmacistic,inasambaa sana na kidhihakiwa na wenye taaluma aliyotamani ajibambikize?
Yote haya yanaonesha kuna uwezekano wa kuwa hizi pesa wanapeana tu
kwahiyo hakuna neno la "Pharmacistic laboratory
 
Chezeni online casino meridian au playmaster. Mtakuja kunishukuru mtakapoanza kutembelea makalio.
Ila mkiingia wanguwangu mtauza mpaka mbuzi wa urithi.
nitajaribu, lkn app gani kati ya hizo mbili ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom