Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu.
Hainiingii akilini kwa video zile za October 29 kamanda wa polisi Anatoka hadharani mbele ya waandishi wa habari na kusema ni video za kutengeneza ilihali jeshi Lina wataalamu wa teknolojia ya kompyuta ambao wanaweza kutoa maelezo kuhusiana na zile picha na video. Au makamanda wakiajiri kule hawatakiwi kutumia akili?