Nipe link ya huo uziHili limezungumzwa sana humu, limetolewa majibu na mjadala wake umefungwa. Lete kitu kipya
Siyo polisi tu... Nenda kwa mahakimu, majaji na wanasheria wa serikali wa mahakama zetu nako hali ni hiyo hiyo. Chukuwa mfano wa karibu: Kesi ya Lissu.Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu.
Hainiingii akilini kwa video zile za October 29 kamanda wa polisi Anatoka hadharani mbele ya waandishi wa habari na kusema ni video za kutengeneza ilihali jeshi Lina wataalamu wa teknolojia ya kompyuta ambao wanaweza kutoa maelezo kuhusiana na zile picha na video. Au makamanda wakiajiri kule hawatakiwi kutumia akili?
Ni namna gani hawa watu wanafikia kuwa seniour officers na aina hii ya thinking its beyonds meSalut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu.
Hainiingii akilini kwa video zile za October 29 kamanda wa polisi Anatoka hadharani mbele ya waandishi wa habari na kusema ni video za kutengeneza ilihali jeshi Lina wataalamu wa teknolojia ya kompyuta ambao wanaweza kutoa maelezo kuhusiana na zile picha na video. Au makamanda wakiajiri kule hawatakiwi kutumia akili?
Ndio maana tunadai katiba mpya, ndio suluhisho la haya yote. December 9 nitafia barabaraniSiyo polisi tu... Nenda kwa mahakimu, majaji na wanasheria wa serikali wa mahakama zetu nako hali ni hiyo hiyo. Chukuwa mfano wa karibu: Kesi ya Lissu.
Once your a liar always you will be a liarSalut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu.
Hainiingii akilini kwa video zile za October 29 kamanda wa polisi Anatoka hadharani mbele ya waandishi wa habari na kusema ni video za kutengeneza ilihali jeshi Lina wataalamu wa teknolojia ya kompyuta ambao wanaweza kutoa maelezo kuhusiana na zile picha na video. Au makamanda wakiajiri kule hawatakiwi kutumia akili?
Unadhani kuna mtu pale...?
Sure thing, I agree 100%Once your a liar always you will be a liar