Kama huna kazi kwa sasa yaani uko mtaani nakushauri ufiche hiyo Masters Degree in Finance & Investment.Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32.
Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014.
Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA).
Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti.
Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari kutuma.
Natanguliza shukrani ๐๐ฟ
Kazi ninayo Ndugu. Nimetumikia kwa miaka 7 sasa,Nahitaji kuongeza welding na maslahi. Asante sana kwa Ushauri.Kama huna kazi kwa sasa yaani uko mtaani nakushauri ufiche hiyo Masters Degree in Finance & Investment.
Instead tafuta kazi kwa kutumia Bsc Banking & Finance ili upate entrypoint kwenye ajira.
Utakapokuwa umepata kazi ya awali ndipo sasa utaanza kutafuta kazi zinazohitaji Masters huku kwenye CV yako ikionyesha uko mahali Labour yako inatumika.
Kwa kuomba kazi na Masters inakuwa vigumu kuwashawishi waajiri. Wanakuona kama wewe ni mtu wa manadharia na hujui kazi, wanakuona huna soko ndiyo maana una Masters lakini uko mtaani. Na HR wengine wanakuona wakikuajiri uyajifanya much know kwa kuwa una Masters
Fuata ushauri wangu, utanishukuru baadaye
Nadhani IAA Arusha walikuwa wana collaboration na baadhi ya vyuo kutoa masters degree na baadhi ya vyuo vya nje ikiwemo hicho conventry university cha UKUliwezaje kusoma Coventry university ulipata scholarship au?