Nina maumbile madogo ya uume

Nina maumbile madogo ya uume

Cm 8 inatosha sana kwa matumizi yasiyo ya anasa...

Cha msingi tafuta kimbaumbau haswaa, yani wale wanawake wasio hata na dalili za kunenepa hata umloeke kwenye protini nzito mwaka mzima...

8cm
IMG_20240108_102402.jpg
 
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
Kujigamba kote kule jinsi unavyochakata mbususu za kila aina Kumbe....
Ngoja nikae kimya😅
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Wewe ridhika tu na hayo maumbile yako. Maana ndivyo ulivyoumbwa. Hizo njia nyingine unazotaka kutumia, zitakuingiza tu kwenye matatizo mengine na ambayo hukuyatarajia.
 
Fanya mazoezi sana, ikibidi asubuhi na jioni. Punguza kula wali, nyama na samaki. Pendelea mihogo ya kuchemshwa. Chukua nazi, piga nyeto, imwagie manii, kisha kaipasulie njia panda. Ataekanyaga akiwa wa kwanza kibamia kinaamia kwake, ndingo yake inakuja kwako. hata mimi nilikuwa hivyo hivyo

Lakini kama atakanyaga mwenye kibamia zaidi yako, hapo utakuwa umelala yooo.
Acha uchawi ww[emoji35]
 
Wewe ndowakuongelea UCHAWI ? DUNIA SIMAMA NISHUKE
 
Back
Top Bottom